huo ni wivu wa maendeleo inamaana yeye akianzisha hiyo kampuni tayari mnamuhusiha na kigogo . hivi unafikiria hapa tanzania hakuna watu ambao wanashindwa kufanya hivyo tatizo la watanzania mna wivu ndio maana hatuendelelui
umekurupuka kutoka wapi ndugu?