Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Namshauri akakomae na Electrical au telecommunication au computer dunia inaelekea ktk technology zaidi
 
Ndugu wana JF nimechaguliwa diploma ya renewable energy technology DIT, je naweza kubadilisha nikishafika chuoni maana malengo yangu yalikuwa kusoma Civil Engineering
Soma hiyo hiyo imekaa vizuri na ni miongoni mwa fani zenye soko na zinazohitajika zaidi.
In fact hiyo fani ni Electrical Engineering iliyoboreshwa na kuongezewa vitu vipya. Na kwa taarifa yako miradi mingi sana inayolipa ni ya renewable. Utasoma mambo ya solar, wind, geothermal, tirdol, hydro, ges n.k pamoja na umeme kwa ujumla. Hivyo usikose wala usiwaze kuiacha
 
Wapi Dr. Saa nane a.k.a mzee wa special electric machine? wapi Mushi? ukimaliza Bachelor yako ya umeme Pale DIT salama basi hakuna chuo chochote duniani kitakachokushinda. VIVA DIT

Mexence Melo the CEO of JF amelike hii comment ..huyu jamaa kumbe nae ana swaga za udiaiti na uyudizm
 
Kuhusu direct entry pale DIT kama mtu ana vigezo vyote yaani Credit 3 za Math,Physics na Chemistry halafu na credits za masomo yanayobaki anazo atakuwa government sponsored au kigezo hicho ni kwa anayechaguliwa kutoka shuleni tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom