Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Hivi ukitaka kutumia hiyo supercomputer unafanyeje?
Aanze na Tesha kwanza....Hiyo kamuone Mr: Chalo atakuelekeza vizuri jinsi ya kuitumia
Aanze na Tesha kwanza....
CTO ulivyo zitaja izo sehemu umenifurahisha sana, kijiwe changu cha kusomea ilikua ni C.B.E na I.F.M ah ah ah! Ukinikosa huko nipo room block v wapi mzee Liondo na Mkilamwene na Dr. Saa nane walikua wanafanya wanafunzi hatulali
Mzee wa white suit nae alikimbiza sana watu katika Engineering Math!
Wapi Prezzo Ghati na mgomo wa kumfungia Kondoro geti?
Sina hakika....its long timeah ah! Tesha keisha rudi? Si alikua kaenda kusoma au
Yap, Kajwaula.ah ah ah! Unazungumzia Kajaulwa nini? Huyu mzee ni mtata anawaacha paper mdi scusi alafu anawatia nyavuni kha!
Wapi Nzumbi na Mkuu Singo gari yake bado ipo?
Sina hakika....its long time
Yap, Kajwaula.
Vijana watakuwa wanakoma na La Place Transformation!
manoah hapo kwenye red panatakiwa kusomeka uzamivu na sio uzamilivu.Dar es salaam Institute of Techology(DIT) sasa kutoa shahada ya uzamilivu(masters) katika fani mpya za teknolojia zaongezwa.Chuo kinachotoa taaluma za teknolojia,kinatarajia kuanza kutoa shahada ya uzamilivu na kuanzisha kozi mpya,
Kozi zinazotarajiwa kuanza ni kama ifuatavyo;
Masomo haya yanatarajia kuanza mapema iwezekanavyo pindi maandalizi yatakapokamilika.
- Masters of Eng. in maintainance management NTA level 9
- B.ENG of Technology in laboratory
- Ordinary diploma of Communication system technology
- Ordinary diploma in renewable energy techology
- Ordinary diploma in food science and technology
- ordinary diploma in multimedia and film Technology
manoah hapo kwenye red panatakiwa kusomeka uzamivu na sio uzamilivu.
Kimsingi nimependa sana ulivyoanzisha hii thread japo kitu ambacho ningependa kuona kinafanyika ni kuendelea kusimulia historia ya DIT kama ulivyoanza. Kama utaweza kwenda mbele kidogo ukaelezea idara moja baada ya nyingine na pia kuelezea mabadiliko na uanzishwaji wa kozi mbalimbali litakuwa jambo la msingi sana.
Natambua kuna mengi ya kukumbuka katika muktadha wa maisha ya chuo kwa ujumla lakini yasiwe ndo yanajaza thread kwakuwa kwa thraed hii hawa vijana wanaochipukia na kufikiria wasome nini huko mbele ya safari watapata kujifunza na kutambua kozi wanazoweza kuzisoma kadri wanavyotarajia.
Mimi nilikuwepo hapo 2002-2005, tukamletea Kondoro bonge la msala, kama unakumbuka lile tifu la NECTA basi nilikuwa mmoja wa "masteringi" wake hadi tunaondoka Kondoro na Masika wakabaki vichwa chini.
Kama napata picha kwa mbaali!Mimi nilikuwepo hapo 2002-2005, tukamletea Kondoro bonge la msala, kama unakumbuka lile tifu la NECTA basi nilikuwa mmoja wa "masteringi" wake hadi tunaondoka Kondoro na Masika wakabaki vichwa chini.
Wapi INTER-DEPT TOURNAMENT,NA Mid- field wa telecomMzee wa white suit nae alikimbiza sana watu katika Engineering Math!
Wapi Prezzo Ghati na mgomo wa kumfungia Kondoro geti?