Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 288
- 1,326
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya 2023/2024.Nb tarehe 1 may bei ya cement ilikuwa 14000 sasa itapatikana kwa 18000.