Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

Mbunge wa Igunga aliyeingia kwa uchaguzi mdogo uliofanyika mwaka jana Dr. Dalaly Kafumu imeelezwa kuwa amekalia kuti kavu baada ya makamanda kadhaa wa Chadema kufungua kesi ya kupinga ushindi wake. Imeelezwa kwamba kilichopelekea kufungua kesi hiyo ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za uchaguzi ikiwemo waziri wa ujenzi (Magufuli) kutumia ofisi ya serikali kisiasa kwa kuahidi kujenga barabara na daraja kushawishi achaguliwe Dalaly, Kada wa ccm (Rage) kutishia kwa bastola na polisi kutochukua hatua zozote, Daftari la wapiga kura kuchakachuliwa na kuonesha kwamba zaidi ya makada 2000 wa cdm kuonekana wamefariki huku wakiwa hai na wenye afya njema (baadhi yao ndo hao waliofungua kesi).

Source: High Court Registry Tabora.

mh Mwigulu ujue wanairamba walikuchagua uwatumikie na si kulewa madaraka uliyopewa naccm, majibu ya uovu unayofanya ndio hayo,wanairamba tunashukuru jinsi unavyojipalia makaa. next time hautupati tena, umetuzalilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom