Duuuh poleni sana wana arusha. wakigoma wanafunzi vyuoni eti CDM wanawachochea. Je, madaladala men wanachochewa na CDM pia? magamba tatueni matatizo sio kuendekeza politik za visingizio bana.
Jamaa wana msimamo paka mida hii wamegoma.nawaonea huruma wakazi wa sokon one,njiro na unga ltd leo watachezea loba za mbao ile mbaya.
Tumechoka kuona madereva hawa kusimama popote wanapotaka baadala ya kuchukua au kuwashusha abiria kwenye vituo vya basi barabaranii. Wacha washughulikiwe, hawako juu ya sheria hawa na wanatukera sana sisi tuliokuwa na magari binafsi. Nitafurahi sana kama daladala na piki piki zitapigwa marufuku katikati ya jiji na waishie huko Ngulelo, Sakina, Mbauda, Suye/Moshono, Njiro n.k. Mabasi kama ma coaster ndiyo yatumike katikati ya jiji kumpunguza msongamano wa magari.
Tumechoka kuona madereva hawa kusimama popote wanapotaka baadala ya kuchukua au kuwashusha abiria kwenye vituo vya basi barabaranii. Wacha washughulikiwe, hawako juu ya sheria hawa na wanatukera sana sisi tuliokuwa na magari binafsi. Nitafurahi sana kama daladala na piki piki zitapigwa marufuku katikati ya jiji na waishie huko Ngulelo, Sakina, Mbauda, Suye/Moshono, Njiro n.k. Mabasi kama ma coaster ndiyo yatumike katikati ya jiji kumpunguza msongamano wa magari.
nitajie vituo sahihi vya barabara hizi vinginevyo acha ujinga....tuanze naTumechoka kuona madereva hawa kusimama popote wanapotaka baadala ya kuchukua au kuwashusha abiria kwenye vituo vya basi barabaranii. Wacha washughulikiwe, hawako juu ya sheria hawa na wanatukera sana sisi tuliokuwa na magari binafsi. Nitafurahi sana kama daladala na piki piki zitapigwa marufuku katikati ya jiji na waishie huko Ngulelo, Sakina, Mbauda, Suye/Moshono, Njiro n.k. Mabasi kama ma coaster ndiyo yatumike katikati ya jiji kumpunguza msongamano wa magari.
unaweza kuchekelea lakini huko tunako kwenda kama wewe una usafiri wako au una jenereta yako tutakuja kuichukua mchana kweupe....jana watu wamelizwa simu hiyo ni siku ya kwanza na kama wangefanya tathimini ya hasara iliyopatikana jana hapa Arusha ungeshangaa sana..jana mai waifu kaniambia mboga ya majani ya 100 iliuzwa 200..sijui leo..kisa wenye mboga hawana usafiri kutoka nje ya mjini kuleta mjini na wakifanikiwa ni kwa galama kubwa sasa unasema ikiendelea hivi miezi miwili!?Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake (mfuko wake) ila mimi natamani kama hali hii itaendelea kama miezi miwili hivi na umeme ukatika wiki 2 ndipo watanzania tutakuwa na akili na kufanya maamuzi kuhusu serikali
Tanzania ni kisiwa cha waoga...au kisiwa cha wananung'unikaji wasiofanyia kazi kwa vitendo manung'uniko yao kwa hofu ya kupigwa mabomu ya machozi...Halafu eti tunaambiwa Tanzania ni kisiwa cha amani.
Duh, sipati picha kama coaster zitajaa mjini kama hizi hiace. BTW , Ukitoka mjini unataka kwenda Njiro au Kijenge , stand iko pande ipi?
kwa hiyo pale ndiyo stendi ya mabasi ya njiro hivi pale unaweza kuweka gari zadi ya 6 na je mabasi ya njiro yaweza kuwa magapi...kifupi Arusha hatuna vituo vya mabasi hata kugeuzia gari hakuna....Nenda chini ya mti,....karibu na posta meru
it means iki ni kimeta!Join Date : 5th June 2011Posts : 6Rep Power : 0