Dah. . .wanawake wengine bana!!!

Mmmmh!! Mende nawe nalidhani ntapata kilicho kizuri kumbe upuuzi mtupu..unadhalilisha dada zetu, but da nao wamezidi, sijui nitukane bila maneno ka ulivyofanya wewe?..Hapana njoo ntulie tu nikitazama wengine wanasemaje katika hili la kwako..
Kawadhalilisha au wanajidhalilisha????!
 
Ni vitu vidogo lakini naweza kumuacha wifi yenu

Tunatoka kazini njiani anakwambia leo nimechoka tukae sehemu tununue chakula tule.nikamjibu si vyema tuna kwetu kila siku tule mahotelini(jana yake tumekaa sehemu na kula kisha tukaenda home),tununue tu mboga(mkuu wa meza ) tukasonge na ugali tule,akakubali kumbe alikubali shingo upande.Tukafika sehemu ya kununua mboga nikamwambia mimi nimebanwa nakimbia chooni(choo cha sehemu husika) shika hii hela tangulia kwenye nyama,akakataa akasema kama ni hivyo tuondoke(nafikiri alimaanisha tukae tule pale hivyo hakukubali toka awali),ok nikatii kauli tukaondoka,tulipofika nyumbani akaa kidogo akaingia kulala,nikamfuata vipi kulikoni? akasema hatopika amechoka!kuna msichana ambaye baadhi ya siku huwa anamuagiza kupika,lakini hakumuagiza akaingia tu kulala.nilipomwambia kuhusu kupika akasema huo ni mfumo dume,nikamwambia kama ulikuwa unajua hata kusonga ugali hautaweza sababu umechoka si ungemuagiza msichana apike leo jioni toka hata ukiwa kazini?je ni jukumu langu baba kumwambia msichana apike?wewe si jukumu lako? anasema tungeweza kununua chipsi tule sio lazima msichana apike naye anachoka(kweli ana kazi nyingi ila kumsemea kwamba anachoka mimi inanishangaza). Hivi kupika mwanamke ni jukumu ama ni jambo unaloamua tu ukitaka unapika,ukitaka haupiki? msichana wa kazi akiondoka hauta pika nyumbani itakuwa ni mwendo wa kula hotelini?Je vitabu vyetu vya dini vinasemaje? Nakaribisha maoni yenu hili ni jambo dogo pengine lisilo weza sababisha watu kuachana ila jinsi anvyo li handle ni dhahiri hajui majukumu yake kama mke!Najua wanawake mnaofanya kazi ni wengi je huwa mnazihudumia vipi nyumba zenu?
 
kanga%2Bmoko.jpg


Ukipitia huku utaona ndoa ndoano.

Huyo anatakiwa apite huku hapo ndio atamuheshimu huyo mume wake.huku atajua kuwa hao wanao binua makalio siyo kama wanapenda wanafanya hivyo ili wapate hata huo mkate wa siku, anafanya kibuli kwa kuwa anajua kuwa jamaa kila siku analeta chakula home.hana adabu hata kidogo huyo dada.Na wewe kwanini huwa huendi kwenye harusi ina maana huna hta ndugu au marafiki wanao olewa na kuowa,unaishi dunia gani.
 
Heri yangu mie mke wa mpemba ananiletea ndani mi napika tuuu na kupakua...oooo lucky me!
 
Huyo anatakiwa apite huku hapo ndio atamuheshimu huyo mume wake.huku atajua kuwa hao wanao binua makalio siyo kama wanapenda wanafanya hivyo ili wapate hata huo mkate wa siku, anafanya kibuli kwa kuwa anajua kuwa jamaa kila siku analeta chakula home.hana adabu hata kidogo huyo dada.Na wewe kwanini huwa huendi kwenye harusi ina maana huna hta ndugu au marafiki wanao olewa na kuowa,unaishi dunia gani.

Kwani wakiwepo ndio lazima niende?
 
Lizzy darling katika maisha yangu ninaomba niepushiwe kum'nanga' mume wangu kwa sababu kuu mbili
1. Nitakapoanza kumsema mabaya yake nitakumbuka kuwa mie pia nina matatizo kwa sababu hata judgement yangu itakuwa questionned! Inakuwaje Mj1 ninamchagua mtu kama huyu (kwa jinsi ninavyomportray kwenye malalamiko yangu) kuwa mume wangu. Na mie nitakuwa na matatizo
2. It takes two to tango................ unknowingly ninawezakuwa part of the reasons, unless nimeeliminate nafsi na matendo yangu kama confronting factor kwenye whatever bad he is doing........
 
Back
Top Bottom