FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
:bump2:
Mbona ajikondesha. Anahatarisha afya yake jamani.
Ulijuaje kama kajikondesha?
kwan unazan uyu ana shida ya love?
ni ungekewa na upumbavu wa kutaka ..kujiminimize..!!!!!!
sasa apo km mimba itakaa wap muda ukifika?
mmh apana m nt man bt izi swaga za victoria bekham n other western cstylish ni za kitoto zaid......dah mtu kachomoka uyooooooooooooo kusema mzimu mmh mwaya hata ladha machoni hamna uyu inabid maisha yake ayafanyie ukouko west londn,ujerumani magharibi,russia ya kaskazin au uko schtalknverubaiaa ya mashariki bt in blak continet like her skin hooooo nooooooooooooo apana !!!!!!!!1
fashion mwaya apo mauzo tele uko panapo u model bt after while u wl treated like crap...........aongeze kilo 2 atulie!!!!!!!!
ebu mie nkapike madiko diko jibwabwa la nazi na samaki na viarage kdg na kamchicha ahaaaaaaaa kwa raha zangu unene njoo ninenepe kote watu waulizeni mabarabarani.................!!!!!!!!!!!!!!! m kidng bwana
Huitaji kuwa mnajimu kama Shekh Yahya Husein kutambua hilo.
mweh.....
yan nakwambia apo ni kaz mbwiga!
sjui kwanini mtu unakubali kugeuzwa sanamu..apo ashaambia fanya juu chini uwe na kilo 22 wakati mtu ana miaka 28 .......kiuno 7 ****** km ya mtoto wa kiume wa miaka mi3.......dah slave minded mwanzo mwisho!!!!!!!
uyu ukimiti nae usiku lazima utoke nduki unaweza ukadhani umemiti na demu wa yahya hussein ohhh no utadhani umemit na mwanajin...........!!!!!!!!!!!!!
Huyu ni mdada wa zoezi, ndo mana kakata tumbo....Sasa ngoja niwawekee tumbo la mama-chausiku wangu mkimbie!
duh wala sitamani kuwa hivyo hapa nilipo bonge na nalipa kinoma,kisa cha kuwa skeleton?akuuuuuuuuuuuu,sijui ukiwa nae bed jamani si unamfunika kabisa!kuweni makini wanaume mnaweza pata mada kesi bure vijitu vyenyewe vishajiishia hivi.