Dah ..nawaachia wenyewe!

hana nyama!!! mwili wake ni ngozi na mifupa tu...!!! anafanana kidogo na betina binti sani!!! shogaze hawa hapa!!!


2928060_f248.jpg
2928063_f248.jpg
2928068_f248.jpg
3239414_f248.jpg


Ongeza zaidi...!!!
 
kwan unazan uyu ana shida ya love?
ni ungekewa na upumbavu wa kutaka ..kujiminimize..!!!!!!
sasa apo km mimba itakaa wap muda ukifika?
mmh apana m nt man bt izi swaga za victoria bekham n other western cstylish ni za kitoto zaid......dah mtu kachomoka uyooooooooooooo kusema mzimu mmh mwaya hata ladha machoni hamna uyu inabid maisha yake ayafanyie ukouko west londn,ujerumani magharibi,russia ya kaskazin au uko schtalknverubaiaa ya mashariki bt in blak continet like her skin hooooo nooooooooooooo apana !!!!!!!!1
fashion mwaya apo mauzo tele uko panapo u model bt after while u wl treated like crap...........aongeze kilo 2 atulie!!!!!!!!
ebu mie nkapike madiko diko jibwabwa la nazi na samaki na viarage kdg na kamchicha ahaaaaaaaa kwa raha zangu unene njoo ninenepe kote watu waulizane mabarabarani.................!!!!!!!!!!!!!!! m kidng bwana

Mimba itakaa tu usiwe na shaka.....btw haitungi kwenye tumbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom