Dah ..nawaachia wenyewe!

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
Melodie-Monrose.jpg

Melodie-Monrose.new-girl.martinique.jpg

debra_shaw-hot.jpg

:bump2:
 
kwan unazan uyu ana shida ya love?
ni ungekewa na upumbavu wa kutaka ..kujiminimize..!!!!!!
sasa apo km mimba itakaa wap muda ukifika?
mmh apana m nt man bt izi swaga za victoria bekham n other western cstylish ni za kitoto zaid......dah mtu kachomoka uyooooooooooooo kusema mzimu mmh mwaya hata ladha machoni hamna uyu inabid maisha yake ayafanyie ukouko west londn,ujerumani magharibi,russia ya kaskazin au uko schtalknverubaiaa ya mashariki bt in blak continet like her skin hooooo nooooooooooooo apana !!!!!!!!1
fashion mwaya apo mauzo tele uko panapo u model bt after while u wl treated like crap...........aongeze kilo 2 atulie!!!!!!!!
ebu mie nkapike madiko diko jibwabwa la nazi na samaki na viarage kdg na kamchicha ahaaaaaaaa kwa raha zangu unene njoo ninenepe kote watu waulizane mabarabarani.................!!!!!!!!!!!!!!! m kidng bwana
 
kwan unazan uyu ana shida ya love?
ni ungekewa na upumbavu wa kutaka ..kujiminimize..!!!!!!
sasa apo km mimba itakaa wap muda ukifika?
mmh apana m nt man bt izi swaga za victoria bekham n other western cstylish ni za kitoto zaid......dah mtu kachomoka uyooooooooooooo kusema mzimu mmh mwaya hata ladha machoni hamna uyu inabid maisha yake ayafanyie ukouko west londn,ujerumani magharibi,russia ya kaskazin au uko schtalknverubaiaa ya mashariki bt in blak continet like her skin hooooo nooooooooooooo apana !!!!!!!!1
fashion mwaya apo mauzo tele uko panapo u model bt after while u wl treated like crap...........aongeze kilo 2 atulie!!!!!!!!
ebu mie nkapike madiko diko jibwabwa la nazi na samaki na viarage kdg na kamchicha ahaaaaaaaa kwa raha zangu unene njoo ninenepe kote watu waulizeni mabarabarani.................!!!!!!!!!!!!!!! m kidng bwana

Mwenyewe nilikuwa nawaza hivi hapa mtoto anakaa wapi ooh my..sasa mambo ya umodel ni kazi jamani
 
Huyu ni mdada wa zoezi, ndo mana kakata tumbo....Sasa ngoja niwawekee tumbo la mama-chausiku wangu mkimbie!
 
yan nakwambia apo ni kaz mbwiga!
sjui kwanini mtu unakubali kugeuzwa sanamu..apo ashaambia fanya juu chini uwe na kilo 22 wakati mtu ana miaka 28 .......kiuno 7 ****** km ya mtoto wa kiume wa miaka mi3.......dah slave minded mwanzo mwisho!!!!!!!
uyu ukimiti nae usiku lazima utoke nduki unaweza ukadhani umemiti na demu wa yahya hussein ohhh no utadhani umemit na mwanajin...........!!!!!!!!!!!!!
 
hahahahahaha Rose umenichekesha sana :becky::becky::becky:
 
Huyu ni mdada wa zoezi, ndo mana kakata tumbo....Sasa ngoja niwawekee tumbo la mama-chausiku wangu mkimbie!

Naomba fomula na mie nikate tumbo hapa nilipo ni kama nina kaujauzito ka 6 month:confused2:
 
Huyo kwa sababu mrefu tu ndo maana anaonekana mwembamba sana................

tumbo hapo ni kama inch 23 hivi

na ana kilo kama 45 huyo ....
 
duh wala sitamani kuwa hivyo hapa nilipo bonge na nalipa kinoma,kisa cha kuwa skeleton?akuuuuuuuuuuuu,sijui ukiwa nae bed jamani si unamfunika kabisa!kuweni makini wanaume mnaweza pata mada kesi bure vijitu vyenyewe vishajiishia hivi.
 
Pearl, hivyo vijitu vyembamba nasikia ni hatari hasa kwa Kutwanga na Kukoboa!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom