Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
106
194
Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
 
Kaka sahivi kila kitu connection, Na connection yenyewe pia sio bure... Dunia yenyewe ishaharibika sio rahisi mtu kukuamini hadi kukupa chombo na mmekutana tu mitandaoni and nobody anataka kuishi kwa kubahatisha watu wanataka uhakika, So mtu anaamini mtu anaeletewa na mtu anaemuamini zaidi kuliko anaekuja mwenyewe.

All in All Keep going, Never give up.
 
Zamani za kale mtu anakuomba kazi unampatia na anafanya vizuri sana.
Sasa hivi mtu ni lazima ajulikane na aletwe na mtu anayejulikana na mwenye kuthaminika na mwajiri mwenyewe.
Mtu anakuja kwa unyenyekevu kuomba kazi hasa kazi za Taasisi Binafsi, kumbe huyo mtu ni Jambazi au Gaidi, au Mwizi au Mchawi.
Matokeo yake atampa hasara kubwa mwenye Taasisi au Kampuni husika.
Pata fani yako kuwa mwaminifu katika kazi yako, watu watakuona na kukuunganishia kazi hata kama hujaitafuta.
Mala nyingi bosi akinunua Maroli mapya huwa ananiagiza
"Lete Mtembezaji Sasa"
Akimaanisha Dereva Mwaminifu na Mahiri.
 
Waminifu wa mambo ya kazi Wapo mzee, mimi leo nimepata kazi ingine kupitia humuhumu JF.
Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
 
Zamani za kale mtu anakuomba kazi unampatia na anafanya vizuri sana.
Sasa hivi mtu ni lazima ajulikane na aletwe na mtu anayejulikana na mwenye kuthaminika na mwajiri mwenyewe.
Mtu anakuja kwa unyenyekevu kuomba kazi hasa kazi za Taasisi Binafsi, kumbe huyo mtu ni Jambazi au Gaidi, au Mwizi au Mchawi.
Matokeo yake atampa hasara kubwa mwenye Taasisi au Kampuni husika.
Pata fani yako kuwa mwaminifu katika kazi yako, watu watakuona na kukuunganishia kazi hata kama hujaitafuta.
Mala nyingi bosi akinunua Maroli mapya huwa ananiagiza
"Lete Mtembezaji Sasa"
Akimaanisha Dereva Mwaminifu na Mahiri.
Tuwasiliane basi ndugu 0655778100
 
embu tuambie umepatajepataje humu jf watu hawatoi kazi wanatuangalia tuu
Humu niliomba kazi sana nikapata maramoja tu ila kazi siku moja nilikimbia asie ila mimi richa ya kuwa jobless nishawapa connection watu wawili kazi humu japo hazikuwa za maana sana.

Nilichojifunza mabosi ngumu sana kuingia humu na kutoa kazi sisi wenyewe Jobless ndio tunaweza penna Connection kwenye zile kazi tunazofanya na upenyo tunaouona.

Mimi nilifanya interview sehemu moja Mikocheni bado wakawa wanahitaji watu nikampa mtu connection akapata, nilippkuwa nafanya kazi sehemu moja nilimpa mtu connection tukawa wote.

Jobless tukifanya kama hivi hii
 
Mkuu ukipata nyingine ata ya 6k per day nishtue aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom