Dada zetu na biashara za Dubai

Wanaume wa kiafrika wanavyodharau wanawake utadhani hawakubebwa miezi tisa na mwanamke.
Lakini hii yote ni inferiority complex,mtu hataki kukubali nafsini mwake kama mwanamke ana maendeleo katika jambo analolifanya kumzidi yeye, hivyo anaona bora
ajifariji oo sijui anauza nini,

wanaume wenye kujiamini na wenye amani na maisha yao huwa wako very supportive.
Jifunze kujiamini .

mimi nimeuliza siri ya mafanikio nataka nimwambie wife aende dubai lakini lazima nijiridhishe ni biashara gani anaenda kuifanya huko dubai.sasa dada yangu mpenzi kama umewahi kwenda huko nipe uzoefu.
 
Wekeni issue sawa tu, mambo ya mafumbo ni kuingizana mikenge tu,
Wakuu,
Biashara za huko zinahusianisha na kujiuza kimwili pia,
Anaweza kwenda huko na akajikuta anahitaji mzigu mkubwa wakati mfukoni hapatoshi,
Hapo kinachofuata ni kuutumia mwili wake kama mtaji, ninao mfano wa rafiki yangu ambae mkewe anapiga hizo issue,
Kipindi mkewe analetewa na wenzake ndoa ilikua tamu kweli, but soon after mkewe kuanza kusafiri na yeye ndoa ikaanza kua chungu,
Jamaa akaanza kugongewa hata na wafanyabiashara wenzake mkewe kwa makubaliano ya kukopesha mikopo yenye riba nafuu kipindi wakiwa nje,
Watch Out wakuu!!
 
Jackbaurer, biashara ya Dada zetu kule, ni ile ile the "oldest profession", kule inalipa sana haswa kwa ngozi nyeusi.

Kufuatia kulipa sana kwa biashara hiyo, dada zetu hawa hupata mitaji hivyo kujinunulia magari mazuri na bidhaa zinazoshehenezwa kwenye maboutique yaliyotapakaa Sinza na Kinondoni.

Watanzania wengi ni wajasiliamali wazuri tuu, tatizo lao ni mitaji. Wenye bahati zao,hujipatia mitaji kiulani kama "mana", lakini waliowengi lazima wahangaike kwa kujituma na huitumia ile rasilimali yao kuu waliyojaliwa kujipatia mitaji.
Pasco hebu njoo tuendelee na mjadala kwani sasa utanielewa kwa nini niliuliza swali hili takribani mwaka mmoja na nusu uliopita.
 
Last edited by a moderator:
mmh majanga! mupenzi wangu kaniambia kakutana na mdada mmoja eti ni rafiki wa mama yake mdogo, eti kampenda wawe marafiki. sasa eti kamwambia waende Hong Kong. nahisi anarubuniwa ili akafanyishwe biashara ya ngono kwa faida ya huyo mdada, kama sivyo basi amfanye punda wa kubeba sembe. nimamkatalia kwenda! sasa sijui kama atanisikia.
 
Pasco hebu njoo tuendelee na mjadala kwani sasa utanielewa kwa nini niliuliza swali hili takribani mwaka mmoja na nusu uliopita.
Mkuu Jack, kwa haya matukio ya hivi karibuni, sasa ndio nimeanza kuelewa!. Niliposikia muigizaji fulani wa bongo muvies kanunua nyumba ya milioni 400, magari mawili kila moja milioni 200 na vifaa vya studio, mac piece 6 na Sony edit station nayo jumla milioni 200, total ni bilioni 1!, mwanzo sikuamini!.

Juzi juzi nikasikia story ya kijiweni, mwanamuziki fulani wa bongo fleva ana zaidi ya 1 billion kwenye Account yake pia sikuamini!.

Sasa naamini, na nimeanza kuelewa!.
Kumbe ule msemo wa "get rich or die trying!" ni kweli!.
Nitajifia na umasikini wangu!.
Pasco.
 
Nimeshuudia dada zetu ambao ni wasanii maharufu wakijiuza mambele. Kuna mmoja kumpata ilikuwa dollar 1000 kwa siku cha ajabu waarabu utoa ata dollar 5000 ukitoa huduma ya kufa mtu.
msione watu wana pesa. Zimetafutwa kwa shida sana
 
Wanaume wa kiafrika wanavyodharau wanawake utadhani hawakubebwa miezi tisa na mwanamke.
Lakini hii yote ni inferiority complex,mtu hataki kukubali nafsini mwake kama mwanamke ana maendeleo katika jambo analolifanya kumzidi yeye, hivyo anaona bora
ajifariji oo sijui anauza nini,

wanaume wenye kujiamini na wenye amani na maisha yao huwa wako very supportive.
Jifunze kujiamini .

Yanayosemwa yapo ndugu yangu, hata ktk radio walishayaongelea kwamba wengi wa wafanyabiashara wa kike, hata wale wanaokwenda kusoma nje(india n.k) they are cheap mpaka kuna maeneo yao kabisaaa ya kupatikana. But whener there is general, lazima tuweke exception
 
Back
Top Bottom