Dada zetu na biashara za Dubai

siri ni masaburi
dubai ni afadhali kitu
CHINA NA THAILAND
ngoja nikusimulie kisa cha Thailand
Thailand kuna sehemu inaitwa pattaya KM 100 kutoka bangkok hapo ndio utakuta Masaburi ya kila aina kuna masaburi karibia 5,000 yanajiuza hapa sasa hapo ukifika wewe angalia masaburi ya kiafrika tu katika kupepesa macho hukawii kuona masaburi ya kinondoni hapa kaondoka kwa mashauzi yote kuwa anaenda kufuata nguo thailand ila wapi
pia kuna china huko ndio usiseme kuna kale kadada kamoja kalikuwa china kanauza masaburi sasa hivi nakaona kanarura zurura jijini.. kanaitwa RF kuna hoteli moja jina nimelisahau iko shanghai...
 
Mbona hata akina kaka wapo wanaoenda kufanya biashara Dubai, nao ni nini siri ya mafanikio yao??
 
Dubai ni masaburi ndio soko kuu kama mke,demu wako...anaenda uko check mtaji na mzigo mwambie aweke kwenye spreesheet then angalia salio alio nalo..utakuta ana kiwango kikubwa cha pesa kuliko alicho kwenda nacho sasa anakwenda kufanya biashara uko au kununua mzigo na kuja kuuza bongo...nasiki per night 500 Dollar.Masaburi.
 
Duuuuuh kama ni kweli namhurumia sana rafiki yangu mmoja ana mkewe kajazia kweli, daily wife wake ni CHINA/FAR EAST/DUBAI
 
wakuu hivi dada zetu wanatumia mbinu gani kufanikiwa katika biashara zao wanazofanya huko Dubai?
Jackbaurer, biashara ya Dada zetu kule, ni ile ile the "oldest profession", kule inalipa sana haswa kwa ngozi nyeusi.

Kufuatia kulipa sana kwa biashara hiyo, dada zetu hawa hupata mitaji hivyo kujinunulia magari mazuri na bidhaa zinazoshehenezwa kwenye maboutique yaliyotapakaa Sinza na Kinondoni.

Watanzania wengi ni wajasiliamali wazuri tuu, tatizo lao ni mitaji. Wenye bahati zao,hujipatia mitaji kiulani kama "mana", lakini waliowengi lazima wahangaike kwa kujituma na huitumia ile rasilimali yao kuu waliyojaliwa kujipatia mitaji.
 
Dubai.jpg
 
@Buswelu, ntakuwa sikusimulii, prince of the darkness wewe, chezeya binti mfalme. ha ha ha ha
Nimeshakuspoti
 
Wanaume wa kiafrika wanavyodharau wanawake utadhani hawakubebwa miezi tisa na mwanamke.
Lakini hii yote ni inferiority complex,mtu hataki kukubali nafsini mwake kama mwanamke ana maendeleo katika jambo analolifanya kumzidi yeye, hivyo anaona bora
ajifariji oo sijui anauza nini,

wanaume wenye kujiamini na wenye amani na maisha yao huwa wako very supportive.
Jifunze kujiamini .
 
kuna ka ukweli fulani, japo si wote wanaofanya hiyo biashara ya kuuza miili ili kuongeza kipato

Back
Top Bottom