Dada zangu huu ni ustaarabu?

Jamani mbona hamsemi za wanaume tena pale mbele anapokaa babu huwa zinahamasisha wadada pia?
 
Hoja yako ni nini? UKO KWA WATU...fanya lilokupeleka!!!

Una haki kusema ivyo ila kama unamaadili mema natumaini hutaweza kunyamaza sababu kama awajaweka kwa mpangilio mzuri wenye heshima machoni pa watu usiseme?
 
Jamani mbona hamsemi za wanaume tena pale mbele anapokaa babu huwa zinahamasisha wadada pia?

kwa wanaume ni vigumu kukuta ameninginiza machoni pa watu sababu yeye anaelewa ndio maana wanaziweka sehemu ambazo sio rahisi kuonekana.
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA

Unakwenda kwenye vyumba vya wanawake wasiokuwa wa kwako kutafuta nini?
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA

Sehemu za faragha ndio zipi hizo jamani?
 
Back
Top Bottom