Dada zangu huu ni ustaarabu?

Nafikiri wewe sokon una ka tatizo hasa ukiona chupi. Chupi inabidi ikae sehemu ya wazi ili ipate hewa na kukauka. to be frank chumbani kwangu anaingia mtu wa karibu yangu au boyfriend, siyo kila mtu atakaribishwa kiholela. Kwa mantiki hiyo, wadada anikeni chupi nje zikauke ili tusipate magonjwa muwasho.
 
wajameni tatizo wanaziweka kama SHOW ktk vyumba vyao sababu kama kuanika zikauke zingeanikwa nje kisha waziifazi kwenye kabati zao ndani. Kama kweli we UMEELIMIKA hutaweza kuweka nguo zako za ndani IVYO kila m2 anaona lazima utaweka sehemu zuri kulinda busara zako.
 
Kila mtu ana sababu yake ya kuanika ndani au nje,kwa wengine si heshima kuanika nguo ya ndani kwenye public na hasa kwenye nyumba zetu za kupanga,unakuta mtu kapanga chumba kimoja,bafu anashirikiana na wapangaji wengine,na kuna watu hawapendi kuona nguo za ndani sasa hapo ulitaka aweke chini ya kitanda augue fangasi?????wakati mwingine,angalia mazingira na umuelewe kwakuwa sidhani kama kuna mtu anapenda kuonyesh nguo zake za ndani,its not a strategy that can win you anything!Happy New Year!
 
Hujajibu suala, ni ustaarabu wa taifa gani kuweka nguo za ndani watu wote wakaona?

Kwenda nyumba ya mtu ukakuta chupi nje si ustaarabu hata huko Ulaya au Asia. Wanaoanika nguo za ndani nje inakuwa nyuma ya nyumba au uwani ili mgeni asifike nyumbani akakaribishwa na nguo za ndani.

Kumkaribisha mtu nyumbani kwako huku umening'iniza nguo za ndani kila pahala si ustaarabu. Na ikiwa hakuna pengine pa kuanika basi kwa ustaarabu tulofundishwa na watu wa zamani, unaning'iniza pamoja na kitambaa chepesi mbele yake ili kuzuwia kukirihisha wageni wako.

SIO TABIA NZURI KUANIKA NDANI. WEKA NJE, NDIO MAANA HATUFUI AU TUNAVAA ZILIZO CHAKAA. NI KITU CHA KAWAIDA. KWANI NANI HAJUI KUWA UMEVAA CHUPI.
 
hujajibu suala, ni ustaarabu wa taifa gani kuweka nguo za ndani watu wote wakaona?

Kwenda nyumba ya mtu ukakuta chupi nje si ustaarabu hata huko ulaya au asia. Wanaoanika nguo za ndani nje inakuwa nyuma ya nyumba au uwani ili mgeni asifike nyumbani akakaribishwa na nguo za ndani.

Kumkaribisha mtu nyumbani kwako huku umening'iniza nguo za ndani kila pahala si ustaarabu. na ikiwa hakuna pengine pa kuanika basi kwa ustaarabu tulofundishwa na watu wa zamani, unaning'iniza pamoja na kitambaa chepesi mbele yake ili kuzuwia kukirihisha wageni wako.

hapo umesema vizuri. Ni hekima nzuri na kukubari. Waambie wenzio wafanye hivyo
 
kuanika nje sio tatizo ila unaingia ndani unakuta zimewekwa kama SHOW ndo kinachoboa watu wangu.

acha hizi wewe kwani unavyosema ndan mean kila kona ya chumba au haja yako ni kudhalilisha
wa dada tu??? kwani mbona za kiume zinazagaa tu na hujasema au mizuka yako ndo unakuja
na hoja kama hizi humu jf......
wewe yako huwa unaweka wapi???? kwenye sanduku hata ikiwa mbich wadada wakipata fungus
mnaanza maji mengi mara katerero wacha hizoo bana
kwanza heri ya nyu iya
 
kwani kumsalimia m2 kosa? Pili anakaa chumba kimoja.
basi umejibu swali langu la kwanza kwamba inategemea na mazingira, ungezikuta hizi sebuleni basi ingekuwa issue... na kama huyo ulienda kumuona sio mgonjwa mgeweza kutoa viti nje mkakaa.
 
acha hizi wewe kwani unavyosema ndan mean kila kona ya chumba au haja yako ni kudhalilisha
wa dada tu??? kwani mbona za kiume zinazagaa tu na hujasema au mizuka yako ndo unakuja
na hoja kama hizi humu jf......
wewe yako huwa unaweka wapi???? kwenye sanduku hata ikiwa mbich wadada wakipata fungus
mnaanza maji mengi mara katerero wacha hizoo bana
kwanza heri ya nyu iya
sio USTARABU kwa nini wasifunike na kitambaa chepesi sababu kama unakaa chumba kimoja. Pia kama wewe ni muungwana utajua kutofautisha nguo ipi inatakiwa ikae wapi na ipi haitakiwi.
 
Tatizo nini mkuu? Mbona hata machinga wanazitembeza huwa huzioni?

kuna tofauti kubwa kati ya uliyeikuta dukani zile zinazo uzwa na kwenye chumba haswa utakakuta zipo zipo tu bila ustarabu kuwepo.
 
Hahahahaa tumeanza kwa makufuli ya akina dada, kwani yana nini? both males and females tunashauriwa tuzianike nje juani zikauke ndo tuzivae, sasa unaifichia nini wakati tunaambiwa na kushauriwa hata ukiwa home usivae kufuli kabisa kwa ajili ya hewa!!
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA

Hili hata mimi nlilikemea sana!
Mbaya zaidi sina mahusiano(mke) nkiziona zinanshinikiza majambozzz!
Baadae n'lijibiwa wazianike wapi?
Na wenyewe wanataka zikauke kwa jua...pia maeneo hayo yamebanwa(uswazi).hawa ni wale wanaozianika nje.
Wanaoanika vyumbani umefuata nini kwenye rum zao?
Wape uhuru wao!
 
kwa mabinti ukienda vyumbani kwao utakuta wametundika nguo zao za ndani kila m2 anaona je huu ni ustarabu ama ni kwanini msiziweke sehemu za faragha? JE HUU NI HUUGWANA
weye watafuta nini huko? usivichukie vichupi kwenye mashindano ya u miss
 
Back
Top Bottom