Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

ana matatizo makubwa matatu madeni,stress na ulevi hayo madeni ndiyo yanamletea stress akipata stree anaamua kunywa pombe kiukweli kwanza anahitaji kukubali kuwa ana tatizo akishakubali itakuwa rahisi kumsaidia pia inaelekea hana marafiki wazuri rafiki pekee aliyebaki ni wewe ndugu yake jaribu kuwaona wataalamu wa magonjwa ya akili ili wajue namna gani ya kumsaidia
 
anatishia tu huyo ondoa wasiwasi!anaejiua hasemi huwa anafanya kimyakimya!anataka attention yenu tu halafu ni dada yako lakini hajakua ana akili za kitoto.we mwambie jiue tu umechoka uone kama atajaribu
Hatsla yule aliyejiua kule Moshibkwa kufiwa na mama yake na kisha kupigia simu ndugu zak walioishia kumwambia kuwa anatishia, walimkuta kwenye kamba. Same kwa aliyejiua Dodoma kwa kufeli.Je bado una jeuri ya anatishia?
 
Tanzania inadaiwa Trilion 50+ na hawaja tishia kujiuwa!

Sasa huyo dada yako anadaiwa Milion 10 anachanganikiwa kiasi hicho!

Magufuli kabana hadi raia haijielewi

 
Mara nyingi huwa anayesema atajiua huwa hathubutu kufanya ivo hata cku mo1 lakin usisubir ad tukio litokee chukue hatua haraka
Hats yule aliyejiua kule Moshibkwa kufiwa na mama yake na kisha kupigia simu ndugu zak walioishia kumwambia kuwa anatishia, walimkuta kwenye kamba. Same kwa aliyejiua Dodoma kwa kufeli.Je bado una jeuri ya anatishia?
 
Mmh ngoja nisimlaumu sana kwenye matumizi ya mkopo
1. Apatikane ndugu Wa kumchukua Mtoto
2. Dada yako anahitaji counseling ya nguvu,anaweza kurudi normal
3. Na hizo plots mbili alizonunua zinaweza kutatua tatizo pia
 
Mi naona hiyo mill 10 haitishii sababu anakatwa kwenye mshahara na n mwajiriwa tatizo kinachomchanganya n hayo madeni ya nje na hizo pombe alizokuwa ananywesha wenzio duh ...kama upo mbali nae nenda mkaonane live umshauri ana kwa ana may b atakuelewa mwambie kuna watu wana matatizo zaidi yake narudia tena zaidi yake ye alirelax tu ...hata bibi yangu alikunywaga sumu sababu ya madeni ila alipona hadi Leo anadunda smtym matatizo yanaweza yakakufikisha mbali sana ..ila huyo kama vile kachanganyikiwa kutaka mkumchomea nyumba mwenzie huko tabata duh mpeleke akaombewe ...(japo najua atakataa) pole dia hizo n changamoto
 
Kama una uwezo mchukue uishi nae mpk atakapokuwa fresh

Unajua kuna wakat matatizo yanakuwa yanamuandama mtu sana km una roho ndogo hayo ndio maamuzi unayofikiria haswa ukiona watu hawakujali

Mm nimeshapata matatizo kama sio ndg zangu kuwa namm kwa kila hali labda nsingekuwa hapa leo
Tatizo ni muajiriwa. Angekuwa hafanyi kazi ningefanya hivyo.
 
Maybe mngetafuta namna ya kuclear hayo madeni yake, akishabak free na hadaiw naamn hzo stress ztapungua, lakn hata kama ukimchukua ukaish nae while bado hayo maden yanamsumbua utakua hujasolve tatizo, Kaen kama family muone n namna gan mtamsaidia kulipa hayo maden af mambo mengine yatafuata.
Asante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom