Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,590
- 20,899
VIWANJA alinunua wapi?..
NIMEMPENDA NIUNGANISHIE MKUU...
NIMEMPENDA NIUNGANISHIE MKUU...
Asante kwa ushauri wakoSioni kwann awe na stress kwasababu zifuatazo
1.kama amekopa kwenye mabenk kwa dhamana ya kazi yake serikalini asiwe na hofu maana mabenk hayamharasi MTU wanakata chao juu kwa juu ila ingekuwa MTU binafsi angemsumbua sana.
2.Waite ndugu muone jinsi ya kumsaidia ndugu yenu hususan kumlipia hayo madeni ya riba.
3.mtafutieni nyumba mumlipie kodi walau ya miezi sita na iwe ni mbali na huo mtaa anaokaa sasa aliozinguliwa na mwenye nyumba.
4.asithubutu kuacha kazi na kwa mwenendo huo wa kulewa chakari anaweza kupoteza kazi angalieni hilo lisitokee maana stress zitazidi Mara alfu moja na hatimaye ni kifo au ugonjwa wa akili.
4.msaidieni aweze kubajeti hela kidogo anayoipata baada ya deductions za mikopo
5. Mtembeleeni kwa kumpa faraja onyesheni mnamjali
6.mpendeni mtoto wake sana hii itamfariji na kumuongezea matumaini
Juu ya yote ni ibada kanisani au msikitini
Acha unafiki wewe ungekuwa unampenda kitu cha kwanza ungeenda kumchukua mtoto wake then ndio ungekuja kuomba ushauri huku. Pumbavu kabisa wewe.Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni kuu huku nilipo, kwa sababu mara kwa mara amekuwa akitishia kujiua yeye na kumuua mtoto wake.
Sabababu kubwa ya kufanya hivyo ni madeni. Dada yangu huyu mnamo mwezi wa nane alichukua mkopo katika bank fulani wa shilingi milion kumi ambao ataulipa ndani ya miaka mitano. Cha kusikitisha hakufanyia kitu cha maana sana zaidi ya kubadili vitu vyote vya ndani, akanunua viwanja viwili na nyingine akalewea pombe na kuwapa ofa marafiki zake.
Hadi imefika mwezi wa tisa mkopo wote ukawa umeisha, akawa mtu wa kuomba omba. Hapo ndipo akaamua kukopa mitaani kwa watu wanaokopesha fedha kwa riba. Akawa anadaiwa kama laki nne. Sasa ikawa akipata mshahara analewea wote na akilewa anamtukana mwenye nyumba na kutishia kumuua mtoto wake na kujiua yeye mwenyewe(mtoto ana miaka kumi).
Kutokana na hali hiyo mwenye nyumba akamsitishia mkataba na kumrudishia hela iliyobakia na akamwambia ahame. Kweli dada yangu alihama lakini hakuwa na pa kwenda hivyo vyombo vyake akawekeza kwa majirani. Sasa akawa mtu wa kutangatanga mara alale barazani mara nje na kazini akawa haendi. Wakati huo mtoto wake kamuwekeza kwa majirani.
Habari zote za yeye kufukuzwa nilipigiwa simu na msamaria mwema mmoja ambae alifanikiwa kuchukua namba yangu wakati dada yangu akiwa amelewa.
Baada ya kupata taarifa hizo niliamua kuwapigia ndugu zangu wakubwa na kuwaeleza. Hakuna aliejali majanga anayopitia dada yangu huyo kila mtu yupo bize na maisha yake madai yao ni kuwa kama huyo dadangu kaona pombe inamsaidia basi aendelee nayo.
Sasa wiki iliyopita huyu dada yangu alienda kwa dada yetu mkubwa ambae kafanikiwa kujenga maeneo ya tabata. Alipofika huko alileta vurugu sana na akatishia kuichoma moto nyumba.
Kutokana na matendo yake ndugu wamemsusa kabisa hakuna anaetaka kujua habari zake. Yaani amekuwa mpweke sana hana msaada , kwa kifupi hakuna anayemjali. Kadiri siku zinavyozidi kwenda roho ya kutamani kujiua naona imemkolea.
Leo hii nimeongea nae kwa simu akasema kuwa niende nikachukue vitu vyake vyote vya ndani kwa sababu hataki mtu yeyote avichukue atakapokufa. Sio siri roho inaniuma sana nimejaribu kuongea nae mara kwa mara kuwa asiyakimbie matatizo kwa kukikaribisha kifo lakini hanielewi. Nikiwaeleza ndugu wakubwa wananijibu mwache afe ila mtoto amuache kwa kweli nazidi kukata tamaa ya kumuepusha dada yangu huyu katika roho ya mauti.
Namnukuu juu ya kifo alichochagua anasema" NITAMPA MWANANGU SUMU AKIANZA KUTATARIKA/KUHANGAIKA NA MIMI NAKOROGA SUMU NAKUNYWA ILI TUFE PAMOJA. Nampenda sana dada yangu sitaki kumpoteza hata kidogo.
Ndugu zangu wanajamii forum wakubwa kwa wadogo naombeni mnishauri nifanye nini juu ya dada yangu asipate mawazo ya kujiua na kumuua mtoto wake? Mwenzenu chakula hakipiti kooni kwa mawazo
Chikueni mjomba wenu endeleeni na maisha yenu subirini kuzika huyo mfu!kifo hakikimbiwa kila mtu atakufa at a certain time na huyo keshamaliza maisha yake amebakiwa na uhai tu subirini hitimisho na kama nyie waislam basi jitayarisheni kumlipia madeni yake maana kwa taratibu za kiislam kufa na madeni ni mushkel kwa maiti labda wadeni wakusamehe.Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni kuu huku nilipo, kwa sababu mara kwa mara amekuwa akitishia kujiua yeye na kumuua mtoto wake.
Sabababu kubwa ya kufanya hivyo ni madeni. Dada yangu huyu mnamo mwezi wa nane alichukua mkopo katika bank fulani wa shilingi milion kumi ambao ataulipa ndani ya miaka mitano. Cha kusikitisha hakufanyia kitu cha maana sana zaidi ya kubadili vitu vyote vya ndani, akanunua viwanja viwili na nyingine akalewea pombe na kuwapa ofa marafiki zake.
Hadi imefika mwezi wa tisa mkopo wote ukawa umeisha, akawa mtu wa kuomba omba. Hapo ndipo akaamua kukopa mitaani kwa watu wanaokopesha fedha kwa riba. Akawa anadaiwa kama laki nne. Sasa ikawa akipata mshahara analewea wote na akilewa anamtukana mwenye nyumba na kutishia kumuua mtoto wake na kujiua yeye mwenyewe(mtoto ana miaka kumi).
Kutokana na hali hiyo mwenye nyumba akamsitishia mkataba na kumrudishia hela iliyobakia na akamwambia ahame. Kweli dada yangu alihama lakini hakuwa na pa kwenda hivyo vyombo vyake akawekeza kwa majirani. Sasa akawa mtu wa kutangatanga mara alale barazani mara nje na kazini akawa haendi. Wakati huo mtoto wake kamuwekeza kwa majirani.
Habari zote za yeye kufukuzwa nilipigiwa simu na msamaria mwema mmoja ambae alifanikiwa kuchukua namba yangu wakati dada yangu akiwa amelewa.
Baada ya kupata taarifa hizo niliamua kuwapigia ndugu zangu wakubwa na kuwaeleza. Hakuna aliejali majanga anayopitia dada yangu huyo kila mtu yupo bize na maisha yake madai yao ni kuwa kama huyo dadangu kaona pombe inamsaidia basi aendelee nayo.
Sasa wiki iliyopita huyu dada yangu alienda kwa dada yetu mkubwa ambae kafanikiwa kujenga maeneo ya tabata. Alipofika huko alileta vurugu sana na akatishia kuichoma moto nyumba.
Kutokana na matendo yake ndugu wamemsusa kabisa hakuna anaetaka kujua habari zake. Yaani amekuwa mpweke sana hana msaada , kwa kifupi hakuna anayemjali. Kadiri siku zinavyozidi kwenda roho ya kutamani kujiua naona imemkolea.
Leo hii nimeongea nae kwa simu akasema kuwa niende nikachukue vitu vyake vyote vya ndani kwa sababu hataki mtu yeyote avichukue atakapokufa. Sio siri roho inaniuma sana nimejaribu kuongea nae mara kwa mara kuwa asiyakimbie matatizo kwa kukikaribisha kifo lakini hanielewi. Nikiwaeleza ndugu wakubwa wananijibu mwache afe ila mtoto amuache kwa kweli nazidi kukata tamaa ya kumuepusha dada yangu huyu katika roho ya mauti.
Namnukuu juu ya kifo alichochagua anasema" NITAMPA MWANANGU SUMU AKIANZA KUTATARIKA/KUHANGAIKA NA MIMI NAKOROGA SUMU NAKUNYWA ILI TUFE PAMOJA. Nampenda sana dada yangu sitaki kumpoteza hata kidogo.
Ndugu zangu wanajamii forum wakubwa kwa wadogo naombeni mnishauri nifanye nini juu ya dada yangu asipate mawazo ya kujiua na kumuua mtoto wake? Mwenzenu chakula hakipiti kooni kwa mawazo
Kwenu wote mna roho mbaya kwa maelezo yako hayaonyeshi kama kunajuhudi zozote mmefanya za kumsaidia mtoto na huyo ndugu yenu.Atajua tu maana ndugu tuliopo ni wachache sana. Na akimpata siku hiyo timbwili lake si la kitoto.
Wanajiua mkuu ,they just need this litle provocation! Long time dame wa mshikaji tulimpoteza kihivyo alikuwa anasoma Zanaki jioni yule kwao walikuwa wanamzingua asiwe na mshikaji wangu akawa anatishia kujiua brother wake akawa anampa kichapo na kumwambia jiuwe na akaenda mbali akanunua sumu kaweka visu akimwambia go ahead !Mara nyingi huwa anayesema atajiua huwa hathubutu kufanya ivo hata cku mo1 lakin usisubir ad tukio litokee chukue hatua haraka
Hana maumivu yoyote huyo mleta mada, kama angekuwa nayo kuna juhudi za awali angechukua kumsaidia ndugu yake kabla yakuomba ushauri. Wote wanakwepa majukumu.Bab key acha utoto huyo mleta mada anaonyesha yuko serious na hana hata chembe ya mzaha anaumia kwa hali ya ndugu yake tumsaidie huu Uzi naona umekaa kimsaada wa mawazo ya kweli yenye uhitaji na c mizaha
Hana hupendo wowote huyo, muda wote hajachukua hatua zozote. angekuwa na upendo angemchukua mtoto basi.[/QUOTE]HanaThupendoeagain, huyo: 18794192, hajachukua6hatuaKzozoteAubarikiwe kwa upendo wako
Mchukue mtoto halafu mwambieni yy ajipige kitanzi tuu haina shidaHabari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni kuu huku nilipo, kwa sababu mara kwa mara amekuwa akitishia kujiua yeye na kumuua mtoto wake.
Sabababu kubwa ya kufanya hivyo ni madeni. Dada yangu huyu mnamo mwezi wa nane alichukua mkopo katika bank fulani wa shilingi milion kumi ambao ataulipa ndani ya miaka mitano. Cha kusikitisha hakufanyia kitu cha maana sana zaidi ya kubadili vitu vyote vya ndani, akanunua viwanja viwili na nyingine akalewea pombe na kuwapa ofa marafiki zake.
Hadi imefika mwezi wa tisa mkopo wote ukawa umeisha, akawa mtu wa kuomba omba. Hapo ndipo akaamua kukopa mitaani kwa watu wanaokopesha fedha kwa riba. Akawa anadaiwa kama laki nne. Sasa ikawa akipata mshahara analewea wote na akilewa anamtukana mwenye nyumba na kutishia kumuua mtoto wake na kujiua yeye mwenyewe(mtoto ana miaka kumi).
Kutokana na hali hiyo mwenye nyumba akamsitishia mkataba na kumrudishia hela iliyobakia na akamwambia ahame. Kweli dada yangu alihama lakini hakuwa na pa kwenda hivyo vyombo vyake akawekeza kwa majirani. Sasa akawa mtu wa kutangatanga mara alale barazani mara nje na kazini akawa haendi. Wakati huo mtoto wake kamuwekeza kwa majirani.
Habari zote za yeye kufukuzwa nilipigiwa simu na msamaria mwema mmoja ambae alifanikiwa kuchukua namba yangu wakati dada yangu akiwa amelewa.
Baada ya kupata taarifa hizo niliamua kuwapigia ndugu zangu wakubwa na kuwaeleza. Hakuna aliejali majanga anayopitia dada yangu huyo kila mtu yupo bize na maisha yake madai yao ni kuwa kama huyo dadangu kaona pombe inamsaidia basi aendelee nayo.
Sasa wiki iliyopita huyu dada yangu alienda kwa dada yetu mkubwa ambae kafanikiwa kujenga maeneo ya tabata. Alipofika huko alileta vurugu sana na akatishia kuichoma moto nyumba.
Kutokana na matendo yake ndugu wamemsusa kabisa hakuna anaetaka kujua habari zake. Yaani amekuwa mpweke sana hana msaada , kwa kifupi hakuna anayemjali. Kadiri siku zinavyozidi kwenda roho ya kutamani kujiua naona imemkolea.
Leo hii nimeongea nae kwa simu akasema kuwa niende nikachukue vitu vyake vyote vya ndani kwa sababu hataki mtu yeyote avichukue atakapokufa. Sio siri roho inaniuma sana nimejaribu kuongea nae mara kwa mara kuwa asiyakimbie matatizo kwa kukikaribisha kifo lakini hanielewi. Nikiwaeleza ndugu wakubwa wananijibu mwache afe ila mtoto amuache kwa kweli nazidi kukata tamaa ya kumuepusha dada yangu huyu katika roho ya mauti.
Namnukuu juu ya kifo alichochagua anasema" NITAMPA MWANANGU SUMU AKIANZA KUTATARIKA/KUHANGAIKA NA MIMI NAKOROGA SUMU NAKUNYWA ILI TUFE PAMOJA. Nampenda sana dada yangu sitaki kumpoteza hata kidogo.
Ndugu zangu wanajamii forum wakubwa kwa wadogo naombeni mnishauri nifanye nini juu ya dada yangu asipate mawazo ya kujiua na kumuua mtoto wake? Mwenzenu chakula hakipiti kooni kwa mawazo
Kichwa kikubwa bila akili ni hasara kwa miguu yako. Kama huna cha kuchangia ungekaa kimya tu wala kisingeharibika kitu. Acha kujichoresha kwa upumbavu wako mtu mzima hovyooiAcha unafiki wewe ungekuwa unampenda kitu cha kwanza ungeenda kumchukua mtoto wake then ndio ungekuja kuomba ushauri huku. Pumbavu kabisa wewe.