Dada ya Rafiki yangu ananitesa nifanyeje?

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Nina rafiki yangu ambaye sasa ni kama ndugu kwa sababu nimeshikamana nae kwa takribani miaka 12 sasa. Ana dad yake (mdogo) ambaye anatumia mamna nyigni sana kunitega nimbatue. lakini ninajitahidi sana kuvumila nisitumbukie huko. lakini hali bado ni mbaya sana mitego imezidi kipimo mingine ni ya wazi. sijue nifanyeje.
 
Achana nae kama hujampenda na huna plan nae kama kuja muoa, we mwite mweleweshe kama mdogo wako kama ulivosema ni kama ndugu mweleze huo ujinga upendi.
 
Inawezekana anakupenda au anakutega ummege....Amua kuzungumza nae. Then utapata jibu kamili.... Na juwa kwamba ukimmega ukamuacha huyo friend wako akijua udugu utaishia hapo. Makaka wengi hawapendi kusikia rafiki zao wana mahusiano na wadogo zao...Tafakari bro!
 
kama ananipenda kiukweli basi inawezekana kwa kiwango kidogo. labda anachokitaka zidi ni kummega. ila duuuuu.
 
weee mwambie goma kuwa mie bwana ni mtu wakuchachua na kusepa so are u down for that. kuwa mkweli tuu
 
Tamaa mbele, mauti Nyuma..... piga moyo konde vishinde hivyo vimitego vyake, usije haribu mahusiano yako na rafiki yako.... pole
 
mwishowe atakuona bwabwa...we piga mzigo halafu unakuwa sura mbuzi kesho yake....ila mshkaji akijua itakula kwako....thubutu,mega,songa mbele
 
usikubali shinda vishawishi hvyo maana ushasema huyo rafiki yako ni kama ndugu sasa we huoni hyo mcchana ni kama ndugu yako pia angalia
 
Nina rafiki yangu ambaye sasa ni kama ndugu kwa sababu nimeshikamana nae kwa takribani miaka 12 sasa. Ana dad yake (mdogo) ambaye anatumia mamna nyigni sana kunitega nimbatue. lakini ninajitahidi sana kuvumila nisitumbukie huko. lakini hali bado ni mbaya sana mitego imezidi kipimo mingine ni ya wazi. sijue nifanyeje.
Mkuu mara nyingi matatizo ni yetu wanaume kufikiri tunategwa, mara nyingi tunajudge vibaya, na mara nyingi nimegundua ni sisi ndio tunawataka hao mabinti , kumbuka sasa ni miaka 12 na nina uhakika umeshuhudia kukua kwa huyo Dada ni mdogo wako, ninavyofikiri anakuheshimu na kukuona kaka yake. Ila kwavile umeshamuweka katika hali hiyo, kila kitu utakitafsiri hivyo na hiyo ni hatari, achana na mawazo hayo na tafsiri hizo, hakutegi chochote hapo, ni tamaa tu Mkuu.
 
Mkubwa usichezee bahati hiyo,wenzako tunazitafuta bahati kama hizo lakini atuzipati,cha maana we kula mzigo huo kwa sababu umesema anakutega ili ummege. ni hayo tu!
 
Siyo mkweli mkuu, huyo anakuchekea kama kaka yake wewe tayari ushangonoka.
Kama unabisha jaribu uone.
 
hili jamaa limejaa ukame tu.. Na huenda miaka yote hii 12 hujagonga ngozi na ulikua wamsubir huyo binti akue na uanze mtamani! Hakutegi chochote ni tamaa zako na ukame ulokuzid.. Ushaur wa mwisho..! Mpigie ''MASTA'' ila kamwe usimtongoze.. adolescent huyo
 
Back
Top Bottom