Cardozo jr
Member
- Sep 8, 2016
- 13
- 4
Duh katika wazembe nadhani ww ni mmoja wao, yani mpaka mnaoga mnakula mnalala tena kitanda kimoja unashindwa kumtendea haki duh hiyo nafasi ingenikuta mm wallah moto ungewaka.
The Boss bhana haaa haaa.duh hiii ni kali kwa kweli........
dogo nae mumueleze kuwa mlikuwa chumba kimoja na dada yake na mlilala kitanda kimoja
ndo mkaafikiana wewe uoe dogo........duh......