Dada kanipa utaratibu kaninyima mwongozo je, ni halali kuoa mdogo wake?

Hongera kwa kuandika hadithi vizuri. Keep it up. Mambo ya uchumba hayana pupa tuliza akili ngono vs kuchumbia noma usije ukatumia kichwa cha chini baada divorce and inf za kufa mtu.
 
Inawezekana dada anataka kukupima aone msimamo wako. Kama ushampenda dada inakuwaje unapata hisia kwa mdogo wake?
 
Pole sana mkuu, yaliyo kupata hayajawahi kunitokea wala kupita katika fikra zangu, yaani upo kitanda kimoja halafu hakieleweki hii case haina exception kwetu , Nahisi naweza kupewa laana na wakubwa zangu. Ushauri wangu potezea wote lakini Kama vipi fagia hiyo dogo kwasababu inaonekana moyo wako umelala kwa dada mkumbwa, anyway time will tell just play along.
mkuu we acha tu, yaani asubuhi yake watu walikuwa wakiniangalia kwa jicho linalosema; dogo usiku kafaidi kweli lakini mwenyewe nilikuwa najisemea wangejua wala wangenihurumia sana,yaani option iliyokuwepo ilikuwa kutumia nguvu na kwa jinsi tulivyo marafiki nisingeweza kumlazimisha
 
Inawezekana dada anataka kukupima aone msimamo wako. Kama ushampenda dada inakuwaje unapata hisia kwa mdogo wake?
ni kweli ana mchumba.dogo wamefanana sana na kwa mujibu wa picha dogo ni turbo zaidi kuliko yeye na mimi nikiri wazi kuwa napenda turbo sana
 
mkuu dada ana msimamo balaa, yaani sikuamini mpaka asubuhi.nakumbuka nilirudi za zana mpaka chuo.

hakuna mwanamke anaepanda kitandani
tena hotelini na mwanaume anaemtongoza
halafuukasema 'ana msimamo'
wewe ulishindwa kutegua 'kitendawili'
ungekuwa mzoefu 'ungetegua'.....
 
hakuna mwanamke anaepanda kitandani
tena hotelini na mwanaume anaemtongoza
halafuukasema 'ana msimamo'
wewe ulishindwa kutegua 'kitendawili'
ungekuwa mzoefu 'ungetegua'.....
inawezekana ni kweli mkuu,lakini ujue mie town kitambo na nilijitahidi sana
 
inawezekana ni kweli mkuu,lakini ujue mie town kitambo na nilijitahidi sana

hukujitahidi na wala kuwa town hakusaidii kutegua
'vitendawili' vya wanawake.....
ungejua 'technic wala usingehitaji kujitahidi'.....
kumbuka alishakwambia toka mwanzo 'una haraka ya nini'
wakati mtalala pamoja?'
hukuelewa hiko 'kitendawili'
ulikuwa na pupa sana....ulikuwa bize na mwili wake
badala ya kuwa bize na moyo wake...
 
mhhh mi nazani hapo kitachotokea ni wewe utakuja kula dogo after that na dada nae utammega mark ma word...same happen to ma best friend,.....
 
mke hatuchaguliwi unless or otherwise........
kuiona picha tu eti undai unampenda hapana hiyo ni tamaa tu. Kama umeshindwa kufanya mapinduzi ya amani basi tulia sana ila hii yakuletewa alternative siiafiki kihivyo
 
hakuna mwanamke anaepanda kitandani
tena hotelini na mwanaume anaemtongoza
halafuukasema 'ana msimamo'
wewe ulishindwa kutegua 'kitendawili'
ungekuwa mzoefu 'ungetegua'.....

The Boss, mimi nina msimamo. Kama unabisha jaribu... LOL ila usimwambi kongosho!
 
inawezekana ni kweli mkuu,lakini ujue mie town kitambo na nilijitahidi sana

Mwaya asikufanye ujisikie vibaya; it happens sana tu, unless mwanaume si mstaarabu aka mbakaji. Hujasikia sijui wapi Mke kamshtaki mumewe kwa kubaka!
 
TB by the way, huo moyo wake angedeal nao one night? Sidhani kuna maufundi sana unless umekutana na 'sitaki nataka kind of a woman'.
 
Mi siamini sana kwenye swala la kutafutiwa mchumba tena na dada mtu! Halafu dada mwenyewe anakupenda kama nini. We kama unampenda dada mtu komaa nae kijanja utamng'oa. Ila nnavyoona ktk wote wawili hakuna anaefaa kuoa.
 
hivi ukimuoa huyo dogo,afu huyo dada jamaa yake aoe mwanamke mwingine,si itakua balaa?kaz ipo!
 
hukujitahidi na wala kuwa town hakusaidii kutegua
'vitendawili' vya wanawake.....
ungejua 'technic wala usingehitaji kujitahidi'.....
kumbuka alishakwambia toka mwanzo 'una haraka ya nini'
wakati mtalala pamoja?'
hukuelewa hiko 'kitendawili'
ulikuwa na pupa sana....ulikuwa bize na mwili wake
badala ya kuwa bize na moyo wake...
mkuu nilitaka kumaanisha kwamba haya mambo si mgeni ingawa sijui kama nitakuwa sahihi kusema ni pro. kwa taarifa tu mie ni mvumilivu sana lakini nikiri kwa mwanaume yeyote yule rijali ukiwa na binti chumba kimoja na ulishakuwa na mawazo fulani ikiwa ni pamoja na kuamini kuwa binti anakupenda, basi kinachofuatia mara nyingi ni vitendohalaf stori baadae
 
hivi ukimuoa huyo dogo,afu huyo dada jamaa yake aoe mwanamke mwingine,si itakua balaa?kaz ipo!
hiyo mkuu nilikuwa sijaifikiria! nadhani kweli hiyo ikaleta balaa maana alishakiri kuwa ananipenda ila tatizo ni hizo sababu mbili.lakni naamini kuwa hawataachana na jamaa na hata ikitokea navyomfahamu hawezi kumsaliti mdogo wake kwani ananiambia kuwa yeye ni kama mama yake kwa sasa
 
Mwaka wa tatu unawaza kuoa na wkt wenzako tunawaza wapi tutapata ajira?
 
Lazima wewe ni hybrid ya simba na mbuzi! haiwezekani bana, kuogelea, kula, kunywa, kitanda kimoja bado tuu nyimbo yako haikuimbika!
Pole bana, labda ulikuwa unaimbisha unachanganya na sala kwa mbali. Haya bana wenye bahati zenu.
Sie matajiri wa mikosi maskini wa bahati hao viumbe hawa tutest g kamwe.
 
Back
Top Bottom