kinyoba JF-Expert Member Jun 2, 2011 1,267 718 May 25, 2012 #3 Mnyika anaambiwa " samahani baba nina mume wangu nampenda sana halafu mimi ni sawa na mama yako"
K Kimbito nyama Senior Member Apr 10, 2012 157 38 May 25, 2012 #4 Mimi binfsi sina tatizo n wewe, ila Chama changu cha Mapinduzi ndicho kilidanganya nifungue kesi
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 May 25, 2012 Thread starter #5 Kimbito nyama said: Mimi binfsi sina tatizo n wewe, ila Chama changu cha Mapinduzi ndicho kilidanganya nifungue kesi Click to expand... mzee Makamba ndio alimdanganya huyu mama wa watu akafungua kesi
Kimbito nyama said: Mimi binfsi sina tatizo n wewe, ila Chama changu cha Mapinduzi ndicho kilidanganya nifungue kesi Click to expand... mzee Makamba ndio alimdanganya huyu mama wa watu akafungua kesi
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 May 25, 2012 #6 Nisamehe mnyika nipo chini ya miguu yako sirudii tena kucheza na NGUVU YA UMMA
Tz-guy JF-Expert Member Aug 10, 2011 436 88 May 25, 2012 #7 Saint Ivuga said: mnyika View attachment 54553 Click to expand... Naomba tuonane badae...
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 May 25, 2012 Thread starter #9 Tz-guy said: Naomba tuonane badae... Click to expand... akampige supu?
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 May 25, 2012 #10 Madaraka matamu kweli....we acha tu
K Kimbito nyama Senior Member Apr 10, 2012 157 38 May 25, 2012 #11 Hata ukuu wa wilaya nimekosa, naahidi kuwa na wewe mwanangu!
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Jul 20, 2010 4,516 1,404 May 25, 2012 #12 samahani anko..moyo wangu umekuangukia!
ALLEX JF-Expert Member Mar 15, 2011 2,006 343 May 25, 2012 #13 Roho yangu kwatu ila nahamia cdm baada ya mwaka mwaka huu...
Kertel JF-Expert Member May 11, 2012 5,268 4,973 May 25, 2012 #14 Kubali kijana nikuweke moyoni mwangu
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 May 25, 2012 #15 Najua nitashindwa naomba unisamehe ili nisilipe gharama za hii kesi!
TIQO JF-Expert Member Jan 8, 2011 13,787 2,078 May 25, 2012 #16 Avue gamba akagombee kwao Iringa kwa Lukuvi
K Kifulambute JF-Expert Member May 8, 2011 2,539 755 May 25, 2012 #19 Mchwechwele said: Me Love you Click to expand... Oooh! you're handsome kifua chako kizuriiiii naweza kukuona baadae?
Mchwechwele said: Me Love you Click to expand... Oooh! you're handsome kifua chako kizuriiiii naweza kukuona baadae?