Dada huyoooo ..... ishatolewa!! tupia maneno kwenye hii picha

Duh! Hii sasa ndo kali zaidi maana naona imekaa ki-mahaba zaidi, na huyo bibi kimoyomoyo atakuwa anatamani Kamanda aseme neno moja na roho yake ipone. Ashindwe na alegee huyo bibi wa magamba.

Kaka nimevunjika mbavu siyo mchezo....hahahahahahaha.....hahahahah!!!!!!
 
"John sorry haya yaishie hapa hapa but i really love you John".....Nipe nafasi jamani moyoni mwako jamaniiiii...!:A S-baby:
 
Hapo anamwambia mnyika najua kesi utashinda Ni kiss basi mi nakupenda toka moyoni najua ukinikubali na wewe utanipenda tuu toka moyoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom