D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Sahihi. Siyo mtu anaandika lugha saba kwa wakati mmoja. Huyu mkuu kazingatia mengi sana. Palipokuwa na ulazima wa kuweka neno la lugha nyingine alifanya hivyo na kuweka tafsiri mujarabu.
Hata waliosomea Kiswahili hawawezi kuandika kitu Kama hichi. Hiki ni kipaji, ukiangalia kwanzia mtiririko, lugha, na maana....huyu Jamaa amebarikiwa.
 
hii story nilifatilia katika documentary maalum,ila leo umenifanya niielewe zaidi.

#kwa update nilizo soma mpaka saivi FBI wameamua kufunga file la kesi hiyo ilio dumu kwa miaka 45(wameshindwa)...ili kutumia budget husika iliokua ikitengwa kufatilia kesi ya D.B. Cooper,badala Yake fungu hilo liweze kutekeleza majukum mengine

#Mkuu unao uwezo mkubwa wa uandishi&kutafsiri Mungu akuongezee zaidi
 
Manuva na makeke yote yalifanyika kabla ndege haijapaa kwa mara ya pili.nahisi hapo ndo walipozidiwa kete,na siku zote matukio makubwa kama hili lazima kuna insideman,eidha mmoja wa marubani au mmoja ya waloshuka wakati wana refuel
titimunda unaakili kama zangu
 
Back
Top Bottom