D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Manuva na makeke yote yalifanyika kabla ndege haijapaa kwa mara ya pili.nahisi hapo ndo walipozidiwa kete,na siku zote matukio makubwa kama hili lazima kuna insideman,eidha mmoja wa marubani au mmoja ya waloshuka wakati wana refuel
 
Vitu hiv havifanywi na mbumbu.. Mathematician, great thinkers, kesi zote hizo za kina cooper, john delinger, bonni n clyde n.k, labda wangeenda kuwafufua wakina albert Einstein, sir isaac newton, au mchawi kisisina.
He he he balaaa kila mjanja na mjanja wake..!
 
Divine..., glory to yhwh, Nifah, BansenBurner, Alisen, Papushikashi, Magazine Fire, miss chagga, succinate coA hydrogenase, SANCTUS ANACLETUS, mngony, Excel, Mussolin5, Jimena, Inferiority Complex, gwijimimi, wambura marwa, Hoshea, Shareef Conscious,
Mbona hukuniita na mimi
 
Back
Top Bottom