CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

madaktari vipi? wao wamenywea? au ndio wanaendesha mgomo baridi unaendelea kunyofoa roho za watanganyika bila huruma? ingekuwa busara mkaungana na walimu!
 
Kuna vitu bado hukuviangalia ambavyo vina mantiki, kama je huu mgomo una mantiki?na pia hayo unayosema kuwa ndo wanayodai walimu ni ni kama umbeya , ina maana hapo CWT hakuna wasomi wa fedha wanaoweza kukukokotoa kufikia mshahara kwa mazingira ya sasa?si kweli mi nafahamu wapo na hawadai kama unavyoeleza, acha kupotosha.Kuhusu ni lini wamefanya timimg ya kuanza mgomo;ni kwamba ni alhamisi tu walipoona inapasa kufanyika hivyo, wasingesubiri tena mpka katikati ya muhura, hata hivyo mgomo huu hauna kikomo kama ilivyoelezwa.Mi kimsingi naasa ni vyema kuchambua mantiki ya mgomo ni yapi?.je ni sahihi walimu kugoma kudai masilahi yao?kuna mwafaka wowote ambao serikali imeutoa kuondoa kero za madai hayo? kama hakuna basi mantiki ya mgomo yapo.Na pia kuhusu ubadhrifu , hayo unayoyasema unaoushahidi wa hayo ama unataka kuunganisha na dhamira yako ya kutumika kuonyesha serikali ni sahihi kukandamiza walimu?

Kiongozi mimi nina ushahidi wa huo ufisadi wa pesa ninao. mambo mengine huitaji kufikiri sana ndugu yangu, Mfano: Wewe ndio mwajiri....una walimu 50,000 @ unamlipa Tsh.500,000/= sasa wao wanataka ongezeko la 100% la mshahara...it means kila mwalimu sasa alipwe Tsh.1,000,000/= + 50% teaching allowance...is it possible?

Hayo ndio madai ya CWT kwa sasa, na huo ushahidi ninao, nita scan barua zao hapa muda sio mrefu nitawawekea ili muamini ninachokisema na mnielewe vema.
 
Hamna kitu kama hicho kamwe walimu hawawezi kugoma ushirikiano wao ni sifuri...hizo ni kelele za mbu tuuuu
 
hivi wewe kibaraka ushawaona walimu ni vilaza??kumbuka walimu wa sasa tumesoma..tumeenda shule tuna degree zetu bana,who ar you kutusemea walimu??acha upuuzi bana,,walimu mishahara haitoshi na hata kama cwt wangekua wabovu na mafisadi lakini kwa hili tuko pamoja nao,,akitokea mtu kama wewe mwenye akili maji basi walimu tunakupuuza kwa nguvu zooote,,kwa taarifa yako walimu we are more than serious and we ar breathing fire,,,,tunagoma j3 kuanzia saa 1.30 asb.vitisho,dhihaka na utapeli hautasaidia kwani kwa hili walimu hao unaosema wako vyuoni ndo wakwanza kuliunga mkona...wewe bado unataka nilipwe mshahara wa 273,000 kwa mwezi??
inisaidie nini?tumeomba madaraja huu mwaka wa 3 since tumegraduate bila msaada,,jamani watanzania hamtuonei huruma??mbona sisi tunawajali watoto wenu??hapana watanzania siasa zimezidi na sasa mmeziingiza mpaka kwenye maisha ya watu hata wasio husika...mungu tusaidie mgomo wetu uwe wa kihistoria na hapo kila mtu ata draw an example kwa walimu...
hatuko tayari kutahiriwa bila idhini yetu ,,mtuache na moto mtauona

Ndugu zangu walimu...msiwe vibendera fata upepo, huu mgomo haupo objective kabisa kama utafanya analysis ya kutosha. Mfano leo hii mtu akikuuliza au mwanao eti baba kwanini mnagoma? Je unaweza kumtajia sababu angalau 3 tu ambazo CWT wamezibainisha?

Usije kuunga mkono mgomo kwa kutojua nini unachogomea ndugu zangu....! I am also a teacher like you but real am feed up with this stupid strategies used by CWT to cheat us....teachers.
 
uliyeanzisha uzi hujui unachosema ni kama umetumwa tu na kwa hasira na ungenikuta nimepiga viroba ningekutukana sana.

Ina maana hujui kufanya analysis ya nilichokiandika hapo au nini tatizo? usiwe na hasira ndugu ukiangalia hapa utaona ni jinsi gani CWT wanatumbua mipesa sasa hivi na kuandikia hizi Millions zimetumika katika kipindi cha kuhamasisha mgomo wakati wanajua ...kuwa hakuna lolote litakalofanikiwa....CWT ni wahuni kama hujui hilo shauri yako.
 
Kiongozi mimi nina ushahidi wa huo ufisadi wa pesa ninao. mambo mengine huitaji kufikiri sana ndugu yangu, Mfano: Wewe ndio mwajiri....una walimu 50,000 @ unamlipa Tsh.500,000/= sasa wao wanataka ongezeko la 100% la mshahara...it means kila mwalimu sasa alipwe Tsh.1,000,000/= + 50% teaching allowance...is it possible?

Hayo ndio madai ya CWT kwa sasa, na huo ushahidi ninao, nita scan barua zao hapa muda sio mrefu nitawawekea ili muamini ninachokisema na mnielewe vema.

Kwa utajiri tulio nao ni possible kabisa kulipa watumishi wa umma kima cha chini laki5(messenger) mpaka mil3.5(madakitaree wakaree),fedha hizo tunazo sema jinga kubwa anaona akiwalipa hizo pesa mvuta bange miraji na rizmoko watachota wapi,safari za kupiga picha zitapungua!
 
Hamna kitu kama hicho kamwe walimu hawawezi kugoma ushirikiano wao ni sifuri...hizo ni kelele za mbu tuuuu

Ni kweli aiseee.mwalim wetu wamekosa kabisa ushirikiano.
Kama vipi sie wanafunzi tugome kufundishwa na walimu wenye malalamiko kibao.
 
Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu ya kudai haki. Haki ya afya bora kwa kila mtanzania.

Haya maneno ya Dr. ni maneno makali kuwahi kutolewa hapa nchini tanzania bara juu ya kudai hadi kwa wananchi.
 
acha umbea uliza kwanza sio unakurupuka Shule zinafungwa tarehe 3-8-2012, afu KUMBUKA Shule hazifungwi Kama Duka hata wakati wa likizo kazi huwa zinaendelea coz kuna madarasa ya mitihani, na zamu zipo Kama kawa

Kwa nini umejiita MCHONGANISHI wakati sifa hiyo huna!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nina wasi wasi hii ni changa la macho kwa walimu kuwa CWT inafanya kazi.

Hapo waalimu hawana ujanja wa kugomea hata kwa dawa Serikali isiwe na wasiwas asilimia kubwa ya waalimu wetu wana vyeti si vyao kwa hiyo ujanja hakuna,naomba sana waende tu sababu itakula kwao serikali ihakiki tu vyeti kwishen.
 
jamani si mwache iyo kesho muone? hivi nyie wakuda mnashida gani sana na mgomo wetu???? sasa na kwataarifa yenu hadi wanafunzi wetu wako nyuma yetu na tunagoma kesho j5 wanaianagia kazini kutusaidia mbona kitaeleweka tu najua sasa hivi serikali inawaza kuacha wanafunzi peke yao shule pasi waalim ni hatari sana ila watakipata wajue kabisa uharibifu wa mali utatke na mambo ya kufanana na hayo.

waaalimu wa sasa hivi tuko na tunataka kieleweke kwamba tuko tumechok bana.

tena kinikosa humu jamvini this week mjue kabsa kwamba nitakuwa mambwepande habr ndo hiyo.

mia. mia mkuu hadi kieleweke
 
Ndugu zangu walimu...msiwe vibendera fata upepo, huu mgomo haupo objective kabisa kama utafanya analysis ya kutosha. Mfano leo hii mtu akikuuliza au mwanao eti baba kwanini mnagoma? Je unaweza kumtajia sababu angalau 3 tu ambazo CWT wamezibainisha?

Usije kuunga mkono mgomo kwa kutojua nini unachogomea ndugu zangu....! I am also a teacher like you but real am feed up with this stupid strategies used by CWT to cheat us....teachers.


Umetumwa?unalipwa shs ngapi?
 
acha ujinga mgomo wa walimu uko palepale,,sensa ni ajira mpya na hayupo mwalimu hata mmoja aliyeteuliwa bali walimu wameomba kwa mkurugenzi kama raia wengine,,usituvunje moyo kwa elimu na upeo wako mdogo j3 saa 1.30 tuko nyumbani kupumzika kama kawaida,,,,wewe na mkeo mwende mkafundishe nanyi mlipwe 273,000

mm nilianza mgomo ijumaa mkuu. Mpaka kieleweke.
 
walimu acheni kucheza na akili za watu nyie.shule zote zimemaliza mitihani na tar 3 shule zinafungwa sasa wanagoma nini kushahishwa mitihan au kuruhusu watoto wacheze?
 
Back
Top Bottom