CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
Baraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo upo kwa kuwa mahakama kuu divisheni ya kazi haijasitisha mgomo huo
Source Channel ten habari
 
Nipo sehemu moja kijijini huku maeneo ya Serengeti nimekaa na walimu s/m wanasema mgomo uko palepale. Ni mara yangu ya kwanza kuona kuna muamko mkubwa wa walimu sasahivi.
 
Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu ya kudai haki. Haki ya afya bora kwa kila mtanzania.
 
Lazima kieleweke!we should stand as one to fight for the right!serikali isipende tishia watu wanaodai haki zao!itekeleze matwakwa ya walimu ndo itoe vitisho la sivyo ni Solidarity forever!tutaogopa vitisho mpaka lini?Funguken walimu!together we can make it!
 
Safi sana CWT! Hawa mafisadi wanaishi maisha ya peponi hapa duniani kwa kubugia keki ya taifa peke yao!!
 
napata tabu sana kumuamini huyo rais wa walimu na kama kweli anao uwezo wa kukomalia huo mgomo ukafanikiwa.nasubiri nione.
 
Dah,nchi na serikali inapita kwenye kipindi KIGUMU SANA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
USISHANGAE USIKU WA LEO AU KESHO MAHAKAMA IKASITISHA MGOMO
 
kila la kheri waalimu....but madai yenu mbona hayako wazi sasa....najua shida zilzopo katika mashule yetu but mmeyaweka kama watu mnaojua mnachodai? au dai lenu kubwa ni mshahara tu! hopy mmejifunza chochote kutokana na mgomo wa madactari walikua wamepanga vzuri madai yao japokua walijisahau tu kidogo kwenye figure yao ya 3.5 Mil....kuweni wamoja cc tupo pamoja nanyi msiogo Pande haiwez tokea tena...ANGALIZO WINGI WENU UCWE NDO UDHAIFU WENU.
 
SSS
Baraza la uongozi la cwt (chama cha walimu tanzania) lasisitiza kuwepo kwa mgomo licha ya serikali kusitisha mgomo huo kwa kuwa ni batili. Mkoba (mwenyekiti wa cwt taifa) amesisitiza kuwa mgomo upo kwa kuwa mahakama kuu divisheni ya kazi haijasitisha mgomo huo
Source Channel ten habari
The only suitable news teachers are waiting .This time we are fully determined whatever to happen we are re This country is not for politician only even we teachers we are providing a unique service for the society transformation.IT`S ENOUGTH TEACHERS NO BODY CAN STAND FOR OUR RIGHTS LETS STAND OURSELVES.IT IS UNFAIR FOR THE GVT THE WAY TREATS US EVEN THE SOCIETY JUDGE US AS SILLY INDIVIDUALS NOW LET TEACH THEM A LESSON NOTHING NEW CAN COME IN OUR SILENCE
 
Huu ni mgomo usio na makali. Mbona shule zote zinafungwa jumanne tar.31 hadi mwezi wa tisa kwa ajili ya kupisha Sensa?. Sasa ni mgomo gani huu wa kichovu?.
 
Watanzania tuna roho ngumu kweli, yani bado mna imani kuwa walimu watagoma ktk hii nchi? Ni afadhali ngamia apenye kwenye tundu la sindano kuliko walimu kugoma
 
kwa hiyo mahakama ya kazi ikisitisha mgomo ndio basi.huu ni usanii wa cwt kudhoofisha madai ya madaktari.
 
kila la kheri waalimu....but madai yenu mbona hayako wazi sasa....najua shida zilzopo katika mashule yetu but mmeyaweka kama watu mnaojua mnachodai? au dai lenu kubwa ni mshahara tu! hopy mmejifunza chochote kutokana na mgomo wa madactari walikua wamepanga vzuri madai yao japokua walijisahau tu kidogo kwenye figure yao ya 3.5 Mil....kuweni wamoja cc tupo pamoja nanyi msiogo Pande haiwez tokea tena...ANGALIZO WINGI WENU UCWE NDO UDHAIFU WENU.

Mbona MADAI yako wazi kabisa ni haya:-
1. Kulipwa kwa kwa MADAI ya walimu ambayo ni pesa ya kujikimu,likizo, malimbikizo ya mishahara, na pesa ya KUPANDISHWA Madaraja pamoja na vyeo
2. Kulipwa pesa ya nyumba au kupatiwa nyumba Kulipwa gharama za usafiri au kupatiwa usafiri
3. Kulipwa posho ya kufanya kazi ktk mazingira magumu hii ni kwa walimu walioko ktk mazingira magumu.
4. Kulipwa posho ya kufundisha "teaching allowance"
5. KUPANDISHWA kwa KIWANGO CHA mshahara at least kilingane na watumishi ktk Kada zingine.
6. Kuboreshewa mazingira ya kazi ikiwemo kupata vifaa vya kujifunza na kufundishia ka vitabu, madarasa, maabara
7. Kurekebishwa kwa Sheria za kazi kandamizi zinazomuumiza mwalimu Kama sera ya KUJIENDELEZA KIELIMU na MASLAHI
8. Kupunguzwa kwa KIWANGO CHA kodi PAYE

Huu ni mgomo usio na makali. Mbona shule zote zinafungwa jumanne tar.31 hadi mwezi wa tisa kwa ajili ya kupisha Sensa?. Sasa ni mgomo gani huu wa kichovu?.
acha umbea uliza kwanza sio unakurupuka Shule zinafungwa tarehe 3-8-2012, afu KUMBUKA Shule hazifungwi Kama Duka hata wakati wa likizo kazi huwa zinaendelea coz kuna madarasa ya mitihani, na zamu zipo Kama kawa
 
Jaribuni kugoma muone moto wa serikali. Na vyeti vyenu vya serikali mtaenda wapi?
 
Jaribuni kugoma muone moto wa serikali. Na vyeti vyenu vya kubumba bumba mtaenda wapi?
 
Back
Top Bottom