CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Kabla mapovu hayajakutoka mdomoni,Tafuta wataalam wa mambo ya mifumo ya elimu ili ujue kuna njia ngapi za mtu kuwa na PHD?ndo uje hapa UROPOKE
Leo JK ana PHD kapataje? na je R. Mengi?
Kila kitu mnakariri, PHD ni mpaka upate First degree,masters?kweli bongo tutasubiri sana.
 
Ninaamini sio Dr Slaa ameandika haya maneno...sio yeye kabisa japo elimu yake ndo hii na wote ni ukweli...ila hii ni mtu kaifraft

Ni yeye mkuu huwa anaandika kama anafukuzwa vile. Makosa mengi mno katika maandishi yake yananifanya niwaze kuwa hii elimu yake ya kuungaunga amesoma kila course week moja anarukia level nyingine na pia hajapitia kwenye mafunzo ya academic writting ndio maana anaboronga sana.
Yaani nawaza akifanikiwa kuwa raisi tutakuwa na raisi wa aina yake katika historia ya taifa letu.
Dr anajihisi inferior sana mbele ya baadhi ya viongozi wenzake ndani ya chama kwakuwa uwezo wake kielimu unampa mashaka mwenyewe.
 
Duh kweli wabongo noma. Wanajadili elimu za wenzao wakati wengi wamepitia shule za shida shida tu hapa bongo baadae wakaenda UDSM OR SUA OR MU OR IFM OR MUHAS OR BUCHS ETC. wanajioona wamesoma sana kuliko akina Slaa. Tatizo tunaendekeza vyeti sana.
 
Slaa ajitetea kuhusu elimu yake. Jionee mwenyewe
By Dr.W.Slaa :
Ndahani,
Ni haki Yao kujadili. Msiwapuuze
wala kuwakatisha tamaa kujadili.
Inawezekana kweli wapo ambao
kwa nia njema hawajui mfumo wa
Elimu wa Kanisa Katoliki ambao tok
a Seminary Ndogo ( Form 1-V1)
nimepitia Dungunyi Seminary and
Itaga Seminary of which am very
proud na ninatoa shukrani za dhati
kabisa kwa waalimu wangu wote si
tu kwa kunipa elimu bora, Bali pia
kwa kunipa misingi imara ya malezi
( formation) kwani elimu bora ni
zaidi ya vyeti.
Aidha si wengi wanaojua
Philosophia hasa wanafundisha nini.
Kwa bahati mbaya kuna watu
wanadhani wameelimika na kuwa
mavuvuzela kumbe hawajui kitu,
ndio maana ya msemo " nusu elimu
ni hatari sana". Kuna watu Leo
ukiwaambia kuwa masomo ya
philosophia( falsafa) yanahusu
subjects muhimu Kama 1) Ethics 2)
Logic 3)Epistemology 4) Cosmology
5) Metaphysics 6) Psychology na
philosophy yenyewe yaani misingi
ya philosophy hawaelewi
unazungumzia nini na si kosa lao.
Kuhoji is not an issue, issue ni je
anayehoji anahitaji kujifunza au
anahoji kwa ushabiki tu! This is the
issue at stake!
Wako watu wanafikiria Seminary
Kuu unajifunza Theolojia ( Tauhidi).
Hawajui kabisa kuwa miaka 5 ya
masomo ya Theolojia ni pamoja na
complete course on Sociology,
Anthropology, Oratory,miezi Sita ya
mwisho nilipata complete course ya
ukunga kwa kuwa ukiwaambia
Padre vijijini wewe pia ni
ambalance, hivyo lazima ujue
basics za kumhudumia mama
mjamzito unayemkimbiza hospital
ini na kadhalika. Msomi yeyote,
kabla ya kuhukumu anaanza kwa
kutafuta ukweli juu ya jambo na
kufanya utafiti. Prospectus ya
Seminary Kuu ambazo ziko affiliated
kwa vyuo vikuu mbalimbali duniani
zinapatikana, hivyo hakuna msingi
wa mtu kufanya guess work, labda
awe tu na sababu zake na au
agenda yake ambayo nintofauti na
lengo la elimu ambayo ni kutafuta
"full truth" ambayo nayo ni msingi
wa Somo la Epistemology katika
masomo ya Philosophy(Fals-afa).
Katika Vyuo vikuu, ikiwa ni pamoja
na Chuo Kikuu cha Urbaniana
( Roma) nilikosoma Mimi, pamoja na
miaka 7 ya Seminary Kuu
nilizosoma (Kibosho Major
Seminary/ Moshi na Kipalapala
Major Seminary ambazo zilikuwa
affiliated kwa Kwa Makerere
University na Ndiyo maana vyetu
vyangu ni vya Makerere University
na Urbaniana Pontifical University
Rome, 1) Nilianza na Bacclaureate
( equivalent ya BA) na kuandika
Paper baada ya Course Work, na
Licentiate ( Masters) nayo
nikaiandikia Paper na kufaulu, ndipo
nikaruhusiwa kuendelea na JCD).
2) Napennda pia kuwafahamisha
kuwa wengi kwa kutokuelewa
wanafikiria kuwa JCD inafundisha tu
Canon Law. Pamoja na Canon Law
masomo mengine ni 1) Civic Law
( ambayo ni msingi wa sheria zote
inayotokana na Roman Law), 2)
Family Law( ikumbukwe Kanisa
Katoliki ina mfumo kamili wa ki
mahakama kuanzia Courts of First
Instance hadi court of Appeal
( Sacred Rota) na Supreme Court
( signature Apostolica). Huu ni
mfumo kamili wa ki mahakama,
kwa kawaida ukijishughulish-a na
maswala yote ya ndoa,na
Patrimony. 3) Jurisprudence 4)
comparative Law French,
Commonwealth, American, Russian
kwa maana nyingine all major Legal
Systems worldwide. 5) International
Law na branches zake zote. 6)
Principles of criminal Law
( elements ambazo haiku kwenye
Comparative Law na Civic Law.
Ili kufanya Desertation yangu,
nilipaswa kujifunza Lugha 5 ( nje ya
Kiingereza ambayo kwa wanafunzi
wa English Speaking Countries
inahesabiwa kuwa Mother Tongue,
Latin ambayo kwa aliyetoka
Seminary Kama nilivyopitia Mimi
inahesabiwa Kama original
language, na Hebrew ambayo pia
kwa mtu aliyepitia Seminary it was
taken as on Original language, japo
Mimi sikuwahi kujifunza Hebrew
Seminarini). Hivyo nikachagua a)Ki
Italiano ambayo pia ndiyo ilikuwa
Mwdium of Instruction yaani lugha
ya kufundishia,b) Kijerumani
c)French d) Spanish na e)
Portuguese. Hata hivyo focus yangu
ilikuwa kwa Italian na German na
mengine matte nilijifunza kuweza
kufanya research yangu, na
kuniwezesha kusoma lakini Siko
fluent katika kuzungumza.Hii pia ni
kutokana na muda mfupi. Nilipata
course ya Wiki 3 tu ya kujifunza
Lugha kabla sijaingia darasani kwa
masomo proper.
Nimeyaweka kwa uwazi, na
ninadhani wako wanaofahamu
mfumo wa masomo katika vyuo vya
Kanisa Katoliki wanaweza kujazia.
Wako ambao tumesoma nao was
mapadre katika Pontifical
Universities za Rome, Leo
wanashika nafasi kubwa katika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania au nafasi zinging
mbalimbali kwenye Taasisi
mbalimbali. Kwa kuwa nilienda
Roma nikiwa tayari Mkurugenzi wa
Maendeleo Jimbo Katoliki la Mbulu,
nikawa Nina shuttle Kati ya
Pontifical University ya Urbaniana
na Pontifical University ya St.
Thomas Aquinas, Rome ambako
nilisomea Advance Diploma ya Rural
Development.
Nadhani sasa mnaweza kupima
kwa vigezo hivi hoja za mleta
thread hii. Mnaweza kupima nini ni
puma na nini ni mchele. Mnaweza
pia objectively kuangalia depth ya
masomo kwa kulinganisha na
propaganda nyingi zinazopigwa kwa
malengo tu ya upotoshwaji na au
Propaganda. Vyuo vikuu Biko
kwenye mitandao, mleta thread na
wengine wa aina yake wakijisumbua
kidogo tu kuingia kwenye Google
watapata ukweli bila kutafuniwa na
mtu. Tuweke uvivu wa kufikiri
pembeni tunapojadili mambo
makubwa na mazito. Nafasi ya kila
mmoja kujipatia Elimu bora ipo
Kama watu tutakubali kujisumbua na
kuacha uvivu wa kufikiri. Nchi
haitaendelea kwa propaganda na
otoshwaji, Taifa halitaendelea kwa
wivu....shika Kitabu. Soma.
Jichimbie utavuna lakini Kama
utakesha kwenye mitandao kufanya
Propaganda badala ya kuchota
elimu bora tena ya bure kwenye
mitandao utaachwa unajiozea!
Nawahimiza wote wenye kupenda
Taifa lao kujichimbia. Innovation ni
msingi wa maendelo na Innovation
haipatikani kwa majungu na umbeya
inapatikana kwa wanaochimbia
vichwa vyao kwenye utafiti,
kujisomea na kujiendeleza. Tupende
Taifa letu, uzalendo uwe kwa
matendo na sio Maneno matupu.

Dr Slaa, kwa kuchangia hii mada, ngoja nianzie mwanzo kabisa ya masomo ya upadre.
1. Baada ya Form VI na baada ya kuwa umepitia national service na umepata Division I au II (masomo ya Arts) & III (masomo ya Science) kwa mfumo ninaoufahamu mimi: aliyeomba kufanya malezi ya upadre alisoma yafuatayo:

a) Philosophy (zamani ilikuwa miaka 2, lakini sasa hivi ni miaka 3): katika philosophy kuna masomo yasiyopungua yafuatayo:
i) A history of philosphy: yaani kuanzia poets karne ya 7 BC, then cosmologists (karne ya 5 hivi BC) hadi cotemporary philosphers na African philosphers. African philosophers ni pamoja na Nkhruma, Mandela, Kaunda, Jomo Kenyatta, Nyerere, Senghor, nk. Kwa idadi ni zaidi ya wanafalsafa 200 hivi (walizaliwa wapi, walisoma wapi au hawakusoma, walifanya nini hadi mwisho wa maisha yao).

ii) Systematic philosophy:

. Logic - formal logic

- material logic

. Natural philosophy:
- philosophy of nature
. Social sciences ( modern science, scientific revolutions, physical sciences, space and time, evolution, etc)
. Anthropology (social and cultural anthropology)
. Political philosophy (+ political science) [The state, the notion of state, elements of state & law, international law, just war, forms of government, separtion of powers, jurisprudence, natural law, positivism, civil law etc]
. Philosophy of language (lingustics, semantics, hermeneutics, art, poetics, aesthetics)
. Psychology
. Metaphysics/ontology (philosophy of being)
. Epistemology (philosophy of knowledge: how do we know? what do we know? What's the meaning of doubt, question, suspicion etc)
. Natural theology (not the same as theology)
. Philosophical Ethics
. Church History
. Moral dilemmas: what's the morality of genetic engineering, HIV/Aids, homosexuality, premarital intercourse, just war, civil disobedience, human cloning, prostitution, masturbation, celibacy, abortion, pollution, rape, sexual abuse, family planning, murder, euthanasia (mercy killing), suicide, genital mutilation, strikes, unemployment, alcoholism, addiction, drug abuse, workholism?

2. Baada ya hii dose wale wa jimbo wanaenda mwaka mmoja mmoja wa pastoral experience. Wale wa mashirika wanaenda mwaka mmoja wa spiritual theology na kisha mwaka mmoja au miwili ya practical experience (jumla mika 3). Tofauti ni kwamba: watakaojiunga na jimbo watafanya kazi ndani ya jimbo wanalotoka au nchini na wale wa mashirika wanaandaliwa (kwa kawaida kufanya kazi nje ya nchi yao ya kuzaliwa ingawa baada ya muda fulani huwa wanarudi kutumikia nyumbani kablya ya kurudi tena kuendelea na utume wao. Siku hizi hata mapadre wa jimbo wanaweza kuombwa kufanya kazi nje ya jimbo au nchi yao na hivyo inabidi pamoja na mambo mengine wajifunze lugha na mila za kule wanakoenda kufanya kazi. Baada ya kipindi hiki wanarudi tena shule.

b. Theology (miaka 3 au 4 kulingana mfumo wa masomo ya chuo husika):

. Introduction to Canon Law and Marriage
. Moral theology
. Sexual Ethics
. Christology
. Pauline theology and Catholic Epistles
. World Religions (Christianity, Islam, African Traditional Religions, Shintoism, Hinduism, Budhism etc)
. Christian Anthropology
. Counselling
. Sacramental theology (including care for the sick)
. Liturgy (including public speaking/good communication)
. Inculturation (understanding surrounding cultural settings)

NB: Masomo yote haya ni kwa level ya basic priestly training kabla ya kufanya specialisation (MA, PhD etc). Kwa kawaida, wanafunzi wa masomo ya upadre haombi kuendelea na masomo ya juu kwa level ya MA au PhD, bali anapendekezwa kulingana na performance yake toka seminari ndogo (minor seminary)/sekondari hadi seminari kuu (major seminary). Mara nyingi wale wanaopata zaidi ya wastani wa 75% na vyuo vingine zaidi ya 85% ndio wanaopendekezwa kuendelea na masomo ya juu.

3. Kama Dr Slaa anavyosema, mara nyingi wanaohaji ni wale wasiojua au kama wanajua wanataka kuleta majungu kwa sababu ya chuki zao binafsi (huenda chuki za kidini au kisiasa). Kwa maoni yangu, ni kukosa uelewa mtu kuhoji usomi wa Dr Slaa. Kuhoji huku ni sawa na "unthinking intelligence" maana vyuo vyote vya malezi ya upadre vilivyo chini ya Kanisa Katoliki vinafuata sylabus ileile ulimwunguni kote na requirements ni zile za chuo kikuu na siyo tu chuo kikuu bali vyuo vinavyokubalika kimataifa na viwe vinakubalika pia kwa viwango vya Kanisa Katoliki. Mfano, mtu akisoma UDSM philosophy, kwa mfumo wa Kanisa Katoliki mtu huyo hajasoma philosophy na hivyo akijiunga na chuo cha Kanisa Katoliki ili asome philosophy anaanza upya. Vilevile kama mtu amesoma Tumaini University theology na akajiunga na malezi ya upadre lazima aanze upya masomo ya theology. Hii ni kwa sababu kwa mfumo wa Kanisa Katoliki haya masomo yanafundishwa kwa undani zaidi na ndiyo maana miaka ni mingi ili kumjengea mwanafunzi uwezi na uelewa mzuri wa masomo anayoyasoma. Mfano, mwanafunzi akijiunga na UDSM anaweza akasoma philosophy kwa muhula mmoja lakini kwa mfumo wa Kanisa Katoliki basic philosophy inasomwa si chini ya miaka mitatu.
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.

Kwani politics ni mali ya nani? Dr amesoma political philosphy kama huelewi jinsi siasa ilivyoanza hadi kufika kwetu leo hii ila wewe hujui maana unadhani mtu akisoma theology anasoma bible. Kwani biblist atasomea nini kama theologian anasomea bible? Theology is the scientific study of the relationship between God, human beings and the universe. Na katika political philosophy mtu anajifunza the evolution/genesis of politics (kuanzia mababu na mababu, kuja kwa akina Plato/Aristotle hadi leo hii. Kumbe wewe ni mbumbumbu wa mambo haya na unayaongea as if you know them, eh? Shame upon you!
 
Watu mtapata shida ya bure tu; niliwahi kuuliza - ili kulinganisha tu - Prof. Juma Mikidadi kasomea nini hadi akafikia mahali na kutambuliwa kuwa ni Profesa? Na siyo tu amesomea nini bali amesomea 'wapi'? Kwanini elimu na vyuo na mambo aliyosomea Prof. Mikidadi vikubalike lakini alichosomea na aliposomea dr. Slaa visikubalike?

Yes, Mzee Mwanakijiji! Kwani anayehoji anajua anachohoji si ni mradi tu ameweka maandiko pamoja na tunaweza kuyasoma? I'm sure ukimwuliza anahoji kitu gani kwa Dr Slaa hajui maana kwanza hajui elimu yake na amesoma wapi na wala kasomea nini. Mfano, ukimwuliza aoneshe content ya masomo aliyosomea ili tuseme Dr Slaa hajasoma ataweza? Of course, hii mbegu ilipandikizwa wakati ule wa kampeni za 2010 na imeshastawi na it's unfortunate kwamba tunajadili mambo na watu wasiojua ni nini cha kujadili.
 
Sina cha kuongeza, umemaliza Dr.
Slaa ajitetea kuhusu elimu yake. Jionee mwenyewe
By Dr.W.Slaa :
Ndahani,
Ni haki Yao kujadili. Msiwapuuze
wala kuwakatisha tamaa kujadili.
Inawezekana kweli wapo ambao
kwa nia njema hawajui mfumo wa
Elimu wa Kanisa Katoliki ambao tok
a Seminary Ndogo ( Form 1-V1)
nimepitia Dungunyi Seminary and
Itaga Seminary of which am very
proud na ninatoa shukrani za dhati
kabisa kwa waalimu wangu wote si
tu kwa kunipa elimu bora, Bali pia
kwa kunipa misingi imara ya malezi
( formation) kwani elimu bora ni
zaidi ya vyeti.
Aidha si wengi wanaojua
Philosophia hasa wanafundisha nini.
Kwa bahati mbaya kuna watu
wanadhani wameelimika na kuwa
mavuvuzela kumbe hawajui kitu,
ndio maana ya msemo " nusu elimu
ni hatari sana". Kuna watu Leo
ukiwaambia kuwa masomo ya
philosophia( falsafa) yanahusu
subjects muhimu Kama 1) Ethics 2)
Logic 3)Epistemology 4) Cosmology
5) Metaphysics 6) Psychology na
philosophy yenyewe yaani misingi
ya philosophy hawaelewi
unazungumzia nini na si kosa lao.
Kuhoji is not an issue, issue ni je
anayehoji anahitaji kujifunza au
anahoji kwa ushabiki tu! This is the
issue at stake!
Wako watu wanafikiria Seminary
Kuu unajifunza Theolojia ( Tauhidi).
Hawajui kabisa kuwa miaka 5 ya
masomo ya Theolojia ni pamoja na
complete course on Sociology,
Anthropology, Oratory,miezi Sita ya
mwisho nilipata complete course ya
ukunga kwa kuwa ukiwaambia
Padre vijijini wewe pia ni
ambalance, hivyo lazima ujue
basics za kumhudumia mama
mjamzito unayemkimbiza hospital
ini na kadhalika. Msomi yeyote,
kabla ya kuhukumu anaanza kwa
kutafuta ukweli juu ya jambo na
kufanya utafiti. Prospectus ya
Seminary Kuu ambazo ziko affiliated
kwa vyuo vikuu mbalimbali duniani
zinapatikana, hivyo hakuna msingi
wa mtu kufanya guess work, labda
awe tu na sababu zake na au
agenda yake ambayo nintofauti na
lengo la elimu ambayo ni kutafuta
"full truth" ambayo nayo ni msingi
wa Somo la Epistemology katika
masomo ya Philosophy(Fals-afa).
Katika Vyuo vikuu, ikiwa ni pamoja
na Chuo Kikuu cha Urbaniana
( Roma) nilikosoma Mimi, pamoja na
miaka 7 ya Seminary Kuu
nilizosoma (Kibosho Major
Seminary/ Moshi na Kipalapala
Major Seminary ambazo zilikuwa
affiliated kwa Kwa Makerere
University na Ndiyo maana vyetu
vyangu ni vya Makerere University
na Urbaniana Pontifical University
Rome, 1) Nilianza na Bacclaureate
( equivalent ya BA) na kuandika
Paper baada ya Course Work, na
Licentiate ( Masters) nayo
nikaiandikia Paper na kufaulu, ndipo
nikaruhusiwa kuendelea na JCD).
2) Napennda pia kuwafahamisha
kuwa wengi kwa kutokuelewa
wanafikiria kuwa JCD inafundisha tu
Canon Law. Pamoja na Canon Law
masomo mengine ni 1) Civic Law
( ambayo ni msingi wa sheria zote
inayotokana na Roman Law), 2)
Family Law( ikumbukwe Kanisa
Katoliki ina mfumo kamili wa ki
mahakama kuanzia Courts of First
Instance hadi court of Appeal
( Sacred Rota) na Supreme Court
( signature Apostolica). Huu ni
mfumo kamili wa ki mahakama,
kwa kawaida ukijishughulish-a na
maswala yote ya ndoa,na
Patrimony. 3) Jurisprudence 4)
comparative Law French,
Commonwealth, American, Russian
kwa maana nyingine all major Legal
Systems worldwide. 5) International
Law na branches zake zote. 6)
Principles of criminal Law
( elements ambazo haiku kwenye
Comparative Law na Civic Law.
Ili kufanya Desertation yangu,
nilipaswa kujifunza Lugha 5 ( nje ya
Kiingereza ambayo kwa wanafunzi
wa English Speaking Countries
inahesabiwa kuwa Mother Tongue,
Latin ambayo kwa aliyetoka
Seminary Kama nilivyopitia Mimi
inahesabiwa Kama original
language, na Hebrew ambayo pia
kwa mtu aliyepitia Seminary it was
taken as on Original language, japo
Mimi sikuwahi kujifunza Hebrew
Seminarini). Hivyo nikachagua a)Ki
Italiano ambayo pia ndiyo ilikuwa
Mwdium of Instruction yaani lugha
ya kufundishia,b) Kijerumani
c)French d) Spanish na e)
Portuguese. Hata hivyo focus yangu
ilikuwa kwa Italian na German na
mengine matte nilijifunza kuweza
kufanya research yangu, na
kuniwezesha kusoma lakini Siko
fluent katika kuzungumza.Hii pia ni
kutokana na muda mfupi. Nilipata
course ya Wiki 3 tu ya kujifunza
Lugha kabla sijaingia darasani kwa
masomo proper.
Nimeyaweka kwa uwazi, na
ninadhani wako wanaofahamu
mfumo wa masomo katika vyuo vya
Kanisa Katoliki wanaweza kujazia.
Wako ambao tumesoma nao was
mapadre katika Pontifical
Universities za Rome, Leo
wanashika nafasi kubwa katika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania au nafasi zinging
mbalimbali kwenye Taasisi
mbalimbali. Kwa kuwa nilienda
Roma nikiwa tayari Mkurugenzi wa
Maendeleo Jimbo Katoliki la Mbulu,
nikawa Nina shuttle Kati ya
Pontifical University ya Urbaniana
na Pontifical University ya St.
Thomas Aquinas, Rome ambako
nilisomea Advance Diploma ya Rural
Development.
Nadhani sasa mnaweza kupima
kwa vigezo hivi hoja za mleta
thread hii. Mnaweza kupima nini ni
puma na nini ni mchele. Mnaweza
pia objectively kuangalia depth ya
masomo kwa kulinganisha na
propaganda nyingi zinazopigwa kwa
malengo tu ya upotoshwaji na au
Propaganda. Vyuo vikuu Biko
kwenye mitandao, mleta thread na
wengine wa aina yake wakijisumbua
kidogo tu kuingia kwenye Google
watapata ukweli bila kutafuniwa na
mtu. Tuweke uvivu wa kufikiri
pembeni tunapojadili mambo
makubwa na mazito. Nafasi ya kila
mmoja kujipatia Elimu bora ipo
Kama watu tutakubali kujisumbua na
kuacha uvivu wa kufikiri. Nchi
haitaendelea kwa propaganda na
otoshwaji, Taifa halitaendelea kwa
wivu....shika Kitabu. Soma.
Jichimbie utavuna lakini Kama
utakesha kwenye mitandao kufanya
Propaganda badala ya kuchota
elimu bora tena ya bure kwenye
mitandao utaachwa unajiozea!
Nawahimiza wote wenye kupenda
Taifa lao kujichimbia. Innovation ni
msingi wa maendelo na Innovation
haipatikani kwa majungu na umbeya
inapatikana kwa wanaochimbia
vichwa vyao kwenye utafiti,
kujisomea na kujiendeleza. Tupende
Taifa letu, uzalendo uwe kwa
matendo na sio Maneno matupu.
 
Haya, tunataka na ya Katibu mkuu mwenzie, Kinana
Slaa ajitetea kuhusu elimu yake. Jionee mwenyewe
By Dr.W.Slaa :
Ndahani,
Ni haki Yao kujadili. Msiwapuuze
wala kuwakatisha tamaa kujadili.
Inawezekana kweli wapo ambao
kwa nia njema hawajui mfumo wa
Elimu wa Kanisa Katoliki ambao tok
a Seminary Ndogo ( Form 1-V1)
nimepitia Dungunyi Seminary and
Itaga Seminary of which am very
proud na ninatoa shukrani za dhati
kabisa kwa waalimu wangu wote si
tu kwa kunipa elimu bora, Bali pia
kwa kunipa misingi imara ya malezi
( formation) kwani elimu bora ni
zaidi ya vyeti.
Aidha si wengi wanaojua
Philosophia hasa wanafundisha nini.
Kwa bahati mbaya kuna watu
wanadhani wameelimika na kuwa
mavuvuzela kumbe hawajui kitu,
ndio maana ya msemo " nusu elimu
ni hatari sana". Kuna watu Leo
ukiwaambia kuwa masomo ya
philosophia( falsafa) yanahusu
subjects muhimu Kama 1) Ethics 2)
Logic 3)Epistemology 4) Cosmology
5) Metaphysics 6) Psychology na
philosophy yenyewe yaani misingi
ya philosophy hawaelewi
unazungumzia nini na si kosa lao.
Kuhoji is not an issue, issue ni je
anayehoji anahitaji kujifunza au
anahoji kwa ushabiki tu! This is the
issue at stake!
Wako watu wanafikiria Seminary
Kuu unajifunza Theolojia ( Tauhidi).
Hawajui kabisa kuwa miaka 5 ya
masomo ya Theolojia ni pamoja na
complete course on Sociology,
Anthropology, Oratory,miezi Sita ya
mwisho nilipata complete course ya
ukunga kwa kuwa ukiwaambia
Padre vijijini wewe pia ni
ambalance, hivyo lazima ujue
basics za kumhudumia mama
mjamzito unayemkimbiza hospital
ini na kadhalika. Msomi yeyote,
kabla ya kuhukumu anaanza kwa
kutafuta ukweli juu ya jambo na
kufanya utafiti. Prospectus ya
Seminary Kuu ambazo ziko affiliated
kwa vyuo vikuu mbalimbali duniani
zinapatikana, hivyo hakuna msingi
wa mtu kufanya guess work, labda
awe tu na sababu zake na au
agenda yake ambayo nintofauti na
lengo la elimu ambayo ni kutafuta
"full truth" ambayo nayo ni msingi
wa Somo la Epistemology katika
masomo ya Philosophy(Fals-afa).
Katika Vyuo vikuu, ikiwa ni pamoja
na Chuo Kikuu cha Urbaniana
( Roma) nilikosoma Mimi, pamoja na
miaka 7 ya Seminary Kuu
nilizosoma (Kibosho Major
Seminary/ Moshi na Kipalapala
Major Seminary ambazo zilikuwa
affiliated kwa Kwa Makerere
University na Ndiyo maana vyetu
vyangu ni vya Makerere University
na Urbaniana Pontifical University
Rome, 1) Nilianza na Bacclaureate
( equivalent ya BA) na kuandika
Paper baada ya Course Work, na
Licentiate ( Masters) nayo
nikaiandikia Paper na kufaulu, ndipo
nikaruhusiwa kuendelea na JCD).
2) Napennda pia kuwafahamisha
kuwa wengi kwa kutokuelewa
wanafikiria kuwa JCD inafundisha tu
Canon Law. Pamoja na Canon Law
masomo mengine ni 1) Civic Law
( ambayo ni msingi wa sheria zote
inayotokana na Roman Law), 2)
Family Law( ikumbukwe Kanisa
Katoliki ina mfumo kamili wa ki
mahakama kuanzia Courts of First
Instance hadi court of Appeal
( Sacred Rota) na Supreme Court
( signature Apostolica). Huu ni
mfumo kamili wa ki mahakama,
kwa kawaida ukijishughulish-a na
maswala yote ya ndoa,na
Patrimony. 3) Jurisprudence 4)
comparative Law French,
Commonwealth, American, Russian
kwa maana nyingine all major Legal
Systems worldwide. 5) International
Law na branches zake zote. 6)
Principles of criminal Law
( elements ambazo haiku kwenye
Comparative Law na Civic Law.
Ili kufanya Desertation yangu,
nilipaswa kujifunza Lugha 5 ( nje ya
Kiingereza ambayo kwa wanafunzi
wa English Speaking Countries
inahesabiwa kuwa Mother Tongue,
Latin ambayo kwa aliyetoka
Seminary Kama nilivyopitia Mimi
inahesabiwa Kama original
language, na Hebrew ambayo pia
kwa mtu aliyepitia Seminary it was
taken as on Original language, japo
Mimi sikuwahi kujifunza Hebrew
Seminarini). Hivyo nikachagua a)Ki
Italiano ambayo pia ndiyo ilikuwa
Mwdium of Instruction yaani lugha
ya kufundishia,b) Kijerumani
c)French d) Spanish na e)
Portuguese. Hata hivyo focus yangu
ilikuwa kwa Italian na German na
mengine matte nilijifunza kuweza
kufanya research yangu, na
kuniwezesha kusoma lakini Siko
fluent katika kuzungumza.Hii pia ni
kutokana na muda mfupi. Nilipata
course ya Wiki 3 tu ya kujifunza
Lugha kabla sijaingia darasani kwa
masomo proper.
Nimeyaweka kwa uwazi, na
ninadhani wako wanaofahamu
mfumo wa masomo katika vyuo vya
Kanisa Katoliki wanaweza kujazia.
Wako ambao tumesoma nao was
mapadre katika Pontifical
Universities za Rome, Leo
wanashika nafasi kubwa katika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania au nafasi zinging
mbalimbali kwenye Taasisi
mbalimbali. Kwa kuwa nilienda
Roma nikiwa tayari Mkurugenzi wa
Maendeleo Jimbo Katoliki la Mbulu,
nikawa Nina shuttle Kati ya
Pontifical University ya Urbaniana
na Pontifical University ya St.
Thomas Aquinas, Rome ambako
nilisomea Advance Diploma ya Rural
Development.
Nadhani sasa mnaweza kupima
kwa vigezo hivi hoja za mleta
thread hii. Mnaweza kupima nini ni
puma na nini ni mchele. Mnaweza
pia objectively kuangalia depth ya
masomo kwa kulinganisha na
propaganda nyingi zinazopigwa kwa
malengo tu ya upotoshwaji na au
Propaganda. Vyuo vikuu Biko
kwenye mitandao, mleta thread na
wengine wa aina yake wakijisumbua
kidogo tu kuingia kwenye Google
watapata ukweli bila kutafuniwa na
mtu. Tuweke uvivu wa kufikiri
pembeni tunapojadili mambo
makubwa na mazito. Nafasi ya kila
mmoja kujipatia Elimu bora ipo
Kama watu tutakubali kujisumbua na
kuacha uvivu wa kufikiri. Nchi
haitaendelea kwa propaganda na
otoshwaji, Taifa halitaendelea kwa
wivu....shika Kitabu. Soma.
Jichimbie utavuna lakini Kama
utakesha kwenye mitandao kufanya
Propaganda badala ya kuchota
elimu bora tena ya bure kwenye
mitandao utaachwa unajiozea!
Nawahimiza wote wenye kupenda
Taifa lao kujichimbia. Innovation ni
msingi wa maendelo na Innovation
haipatikani kwa majungu na umbeya
inapatikana kwa wanaochimbia
vichwa vyao kwenye utafiti,
kujisomea na kujiendeleza. Tupende
Taifa letu, uzalendo uwe kwa
matendo na sio Maneno matupu.
 
tunataka Cv ijieleze isiwe na ulazima wa kukodisha majeshi ya wategaji wa sumu kuifafanua na kuitetea kwa rejea rahisi ndo nimekuwekea hizo za wasomi wa kweli, masuala ya kuanza kuchukua Phd kwa kutumia ki sertificate cha kipalapala seminary halafu unakuja kufanya advanced diploma hatuhitaji mseto na mchanyato wa aina hiyo!! Phd ya slaa ni ipigiwe kura iingie kwenye maajabu saba ya Dunia. Certificate ya kipalapala seminary to Phd kweli kiboko jamaa ni genious zaid ya Isack Newton na Faradays!

Nikuulize swali rahisi: kama umesoma miaka ya 1980s hapa Tanzania mtu yeyote aliyekuwa anafaulu somo la siasa grade aliyokuwa anapata ni S (kwa maksi zote za ufaulu). Sasa niulizi je ina maana Watanzania hawajawahi kufaulu siasa? Kwa nini mtu akipata 50% alikuwa anapata S sawa na mtu anayepata 100%? Jibu ni rahisi: kwamba mfumo wa grading Tanzania ndivyo ulivyokuwa. Sasa nije kwa swala la Dr Slaa. Miaka aliyosoma Dr Slaa Philosophy na Theology hata Tanzania hapakuwa na chuo ambacho hivi vyuo vilikuwa affiliated maana UDSM hapakuwa na Faculty of Philosphy or Theology tofauti na Makerere University (Uganda) au Chancellor College (Malawi University) ambazo zilikuwa na hizo faculties. Hivyo, wanafunzi wote waliosoma hapa Tanzania kwa wakati huo were subjected to such grading na mwanafunzi akimaliza alikuwa anapata certificate of philosophy or theology siyo kwa sababu ya certificate kama hizo tulizo nazo leo, la. Maana mtu anayepata certificate ni yule ambaye hajafikisha alama za kumtosha kupata diploma au degrii. Lakini kilichohesabika wakati huo ni wastani wa ufaulu ambao ulikuwa umewekwa ili kwamba kama mwanafunzi wa philosphy au theology atapata zaidi ya 75% (distinction) alikuwa anapelekwa kuendelea na masomo kwa ngazi inayofuata ya masomo ya specialisation. Na Dr Slaa alikuwa kati ya wanafunzi waliofaulu vizuri sana na pia alipomaliza masomo yake St Alban University, Rome, (kama sikosei) alipata distinction. Ili mtu aende seminari kuu kwa muda huo ilibidi kwanza awe amemaliza Form VI na amefaulu vizuri (yaani, awe na qualifications za kwenda chuo kikuu). Hivyo, isingewezekana mwanafunzi asome miaka 2 philosphy halafu apate certificate na baadaye asome miaka 4 na apate certificate pia. Na tangu mfumo huo ubadilishwe, wanafunzi wote wanaosoma Ntungamo, Kibosho, St Peters (Segerea) na Kipalapala hakuna anayepata certificate au diploma tena. Wote ni degree na kama mtu hawezi kuipata anarudishwa nyumbani. Lakini wakati ule ndiyo ilikuwa award ya mwisho kwa seminari kuu za Katoliki hapa nchini. Mimi ningekuwa na wasi wasi iwapo chuo alikoenda wangemkataa au angepata matatizo ya usaili/usajili wa masomo yake. Lakini hapakuwa na tatizo na maadam alikidhi vigezo vya kujiunga na chuo kikuu cha St Alban, sioni shida au hujui ni chuo gani? Hebu tafuta kwenye mtandao na uone ni walimu wa aina gani wanaofundisha hapo na ndipo uje ujadili tena elimu ya Dr Slaa.
 
Ukweli huwa kama tanuru la moto mkali. Hata kama ukijifanya kuupuuzia, utakuchoma mpaka utapiga kelele.

Ukweli wa hoja umemwibua Dr.Slaa kutoka mafichoni. I'm afraid, alichokifanya ni kuchochea moto zaidi.

Ukikutana na mtu anatumia nguvu nyingi kujenga hoja kwa swala ambalo ni STRAIGHT FORWARD lazima kutakuwa kuna utata katika swala hilo. Kwani kuna tatizo gani kusema FROM----year up to ----year nilikuwa nasoma kozi hii and etcetera etcetera etcetera

Historia ya maisha haihitaji kuelezewa kwa kuweka vijembe mbele katika kuielezea ama kwa njia ya Curriculum vitae au kwa mtitiriko wa kawaida.

Kujua kama kuna utata katika maisha yake, hakuna hata mwaka au muda wa kuanza au kumaliza ameweka katika masomo yake na hii amefanya maksudi ili kuogopa kujichanganya kihoja.

Dr. Slaa anajitahidi kuficha mapungufu ya elimu katika maisha yake kwa kuweka vijembe ili kujaribu ku-destroy hoja za msingi kuhusiana na mtiririko wa elimu yake.

MTIRIRIKO wa elimu yake una UTATA.
 
Reputation ya elimu ya kanisa katoliki hata hapa Tanzania tu ni nani anayeweza kuihoji?
Angalia uwezo wa watu kama John Mnyika(form 6 wa akina Nape) hata wakina Prof Maghembe wanatetemeka wakimuona anasimama kuwahoji. Anajenga hoja Bungeni ambayo Nape akiipata anaandika Thesis ya kuombea PhD kule kwenye chuo chake walichimdahili na Division 4 ya point 29. watu hata wa imani tofauti hubadili majina ili wakaipate kisha warudi kwenye imani zao na wengine baada ya kuipata wakagoma kurudi kwenye imani zao. Ritz na wewe mwaga details za shule yako tulinganishe basi. ukiona aibu basi shusha ya "kijana" wenu JK.
 
Ukweli huwa kama tanuru la moto mkali. Hata kama ukijifanya kuupuuzia, utakuchoma mpaka utapiga kelele.

Ukweli wa hoja umemwibua Dr.Slaa kutoka mafichoni. I'm afraid, alichokifanya ni kuchochea moto zaidi.

Ukikutana na mtu anatumia nguvu nyingi kujenga hoja kwa swala ambalo ni STRAIGHT FORWARD lazima kutakuwa kuna utata katika swala hilo. Kwani kuna tatizo gani kusema FROM----year up to ----year nilikuwa nasoma kozi hii and etcetera etcetera etcetera

Historia ya maisha haihitaji kuelezewa kwa kuweka vijembe mbele katika kuielezea ama kwa njia ya Curriculum vitae au kwa mtitiriko wa kawaida.

Kujua kama kuna utata katika maisha yake, hakuna hata mwaka au muda wa kuanza au kumaliza ameweka katika masomo yake na hii amefanya maksudi ili kuogopa kujichanganya kihoja.

Dr. Slaa anajitahidi kuficha mapungufu ya elimu katika maisha yake kwa kuweka vijembe ili kujaribu ku-destroy hoja za msingi kuhusiana na mtiririko wa elimu yake.

MTIRIRIKO wa elimu yake una UTATA.

Kwani diwani hapo hoja ilikuwa ni mtiririko wa elimu au hoja ni elimu na ubora wake?
Nb: tupia na ya kwako tukujadili kidogo, tumesharidhika ya dr Slaa tunataka ya mwingine tuanze na ya kwako mkuu wangu
 
Ukweli huwa kama tanuru la moto mkali. Hata kama ukijifanya kuupuuzia, utakuchoma mpaka utapiga kelele.

Ukweli wa hoja umemwibua Dr.Slaa kutoka mafichoni. I'm afraid, alichokifanya ni kuchochea moto zaidi.

Ukikutana na mtu anatumia nguvu nyingi kujenga hoja kwa swala ambalo ni STRAIGHT FORWARD lazima kutakuwa kuna utata katika swala hilo. Kwani kuna tatizo gani kusema FROM----year up to ----year nilikuwa nasoma kozi hii and etcetera etcetera etcetera

Historia ya maisha haihitaji kuelezewa kwa kuweka vijembe mbele katika kuielezea ama kwa njia ya Curriculum vitae au kwa mtitiriko wa kawaida.

Kujua kama kuna utata katika maisha yake, hakuna hata mwaka au muda wa kuanza au kumaliza ameweka katika masomo yake na hii amefanya maksudi ili kuogopa kujichanganya kihoja.

Dr. Slaa anajitahidi kuficha mapungufu ya elimu katika maisha yake kwa kuweka vijembe ili kujaribu ku-destroy hoja za msingi kuhusiana na mtiririko wa elimu yake.

MTIRIRIKO wa elimu yake una UTATA.
...Hopeless! Elimu is about content. anyways hata huo muda unaoutaka soma vizuri utaona miaka inatajwa mitano, saba nk. Kuna faida gani mtu kusoma miaka kadhaa halafu uwezo unaodevelop ni kama wa Nape?
 
​Loh, I guess ndo maana mkuu dhaifu aliingia miti ni kufanya mjadala na huyu jamaa. Kumbe Slaa amechimba siyo mchezo.
 
yes DR YOUR EDUCATIONAL PROFILE IS UNQUESTIONED BY LOW AND NARROW MINDED,WISH YOU ALL THE BEST.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom