Cuhas: Tupeane mawaidha

mbona paukweli hapo

Unajua vyuo vingine vina ubabe wa kuwanyanyasa wanafunzi mpaka wakome kuomba pale. Hasa MUHAS wana tabia hiyo chafu ya ku-terrorise wanafunzi. Si unasikia eti UDSM law wanasema wamedhalilishwa kuletewa wanafunzi wa div. 2!!
 
hapo kwenye muhas mbona sikuelewi elewi..nipe more info kwa ulichosema man maana nimechaguliwa pale..
 
No usiogope, kuna katabia ka kuwanyanyasa wanafunzi na masomo. Lakini nasikia sasa tabia hiyo inaisha maana kizazi cha manyanyaso kinaishia. Be confortable gentleman!
 
Back
Top Bottom