Mtihani kwa walimu wapya 2024/2025

o_2

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
348
287
Rejea kichwa habari hapo juu.

Tukiwa tunasubiria Sekeseke la 'kupiga pepa' tufaulu ndio tuajiriwe hebu tupeane dondoo za hapa na pale.

Pepa' itakuaje na labda itakuwa ni content based kwendana na somo au itakuwa teaching methodology.

Au tusikilizie tu liwalo na liwe?
 
Kama mitihani itawahusu ambao hawajaajiriwa bado Mimi sioni tatizo.
Kada zingine ili uajiriwe unafanya mitihani miwili mpaka mitatu na hakuna kelele.
 
Watu bhana jibuni swali la mtoa mada ajapiga kelele,
nyie ndo mnaopiga kelele ajakataa kufanya mtihani, anauliza mode ya hiyo mitihani itakuwaje?.
Mbona humu Kuna mada nyingi za kada mbalimbali wanauliza uko maswali ya sahili mbalimbali za utumishi,
angali ya kuwa wao ndio utaratibu wao wa muda mrefu kufanya hizo sahili lakini Bado Kuna sehemu wanaona kunakaukakasi wanauliza wanasaidiwa na wao wanarejea nyingi hai.
Why kwa huyu teacher asiye na rejea ya sahili amtaki aulize mnamwambia anapiga kelele hivi mpo serious kweli
 
Nyie sindio mtakuwa wa kwanza kufanya pepa nadhan mtakuwa mabalozi wazuri kwa kile mtakachoenda kukutananacho.

Ila nyie unakuta mwalimu kakaa mtaani toka 2016 huko halafu uje umtungie maswali sijui fluid mechanics, hyperbolic function
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Back
Top Bottom