Je, naweza pata nafasi CUHAS Course ya Radiology Level ya Diploma?

Bila sisi kujua jinsi yako na alama zako ulizopata kwenye mitihani ya form 4 hatuwezi kujua kama utapata au la!
 
Kama huna division 1 na ufaulu Uwe sii chini ya CBB ila ukiwa na CCC flat hutoboi angalua uanzie CBB kwa Physics ,Bios na Chemistry.
Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?
 
Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?
Mwaka gani? Usiwe mbishi mkuu afu competition ya Bugando usiifananishe hata kidogo na Muhimbili t,atizo ukweli watu hawapendi kusikia.

Kadri miaka inavyoenda ndo ushindani unakua mkubwa vyuo vya serikali.

Mfano miaka ya nyuma Muhimbili pale MD mpaka wenye Two walichukuliwa ikaja mpaka 1.9 ila leo ukiwa na 1.6 tu kupata MD mtihani...so siongei haya kwa kubahatisha.

Mfano mwingine Clinical medicine miaka ya nyuma mtu akiwa na CCC ana uhakika wa kwenda chuo cha serikali lakini leo hapati hiyo nafasi.
 
Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?
Hizo za kitambo Mkuu, Saivi DDR ni Ugomvi😂
 
lkn pale muhas nmekosa pia cuhas niliwapigia cm wakasema usajili wamefunga mpaka mwakani je vp kama nkifanya transfer kwenda pale cuhas(bugando) procedure zpoje
 
hapa hata sielew nafanyeje jaman mwenye kujua anisaidie nifanye ili nipate chuo DDR
 
Kama kuna Course umechaguliwa ndani ya Chuo kimoja na Wanatoa DDR unaeza pata bahat ya Kubadili course japo si Rahisi unless kuna waty wasireport au Wahame.
Vuta subra mwaka si mrefu.
 
Back
Top Bottom