Duh! Umevurugwa wewe
Endelea kujidanganya.Muda wa kupitia michango yangu sina ila nna uhakika sijawahi kujinasibu kuwa mimi ni CCM au wa chama cha upinzani,nimejengwa kwenye misingi ya kuhoji,kudadisi,kukosoa na kusifia pale inabpobidi ila si kushabikia chochote bila tafakuri,
ndo maana ya PL 111 na PL 100
Waziri anafanya ziara ya kiserikaliMleta thread hii anasema waziri yupo ziara ya kikazi. Sasa hiyo kazi ya kuongeza wanachama wa chama chake ni kazi ya serikali au ya chama? Mi nafikiri hiyo ni ziara ya kichama. La msingi ni kuruhusu na wengine wafanye ziara hizo maeneo hayohayo. Usishangae hao wote aliowapata wakapatwa na mwingine wa chama tofauti. Politics and those who believe in it are dynamic.
Endelea kuishi kwa dhana,Endelea kujidanganya.
Hainipi shida.Endelea kuishi kwa dhana,
Hainipi shida.
Huyo Waziri kaenda kikazi, hayo kupokea wanachama wapya wapi na wapi? Kama alienda kichama (taarifa yenu haisemi hivyo) jee kule ni jimboni kwake? Polisi nao walikuwepo wakimlinda waziri.Chama cha Wananchi, CUF kimeendelea kusambaratishwa Tanzania Bara. Maelfu kwa maelfu ya wafuasi wake wameendelea kukikimbia chama hicho na kujiunga na chama kubwa, CCM. Safari hii ni zamu ya vijana zaidi ya 300 walioachana na CUF na kujiunga na CCM ambapo kwa sasa wameamua kuchapa kazi kupitia kikundi chao za ujasiriamali kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga.
Wanachama hao wamepokelewa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura alipofanya ziara ya kikazi mkoani humo.
Vijana hao wamesema kuwa wakati wanajiunga na CUF walishawishiwa kipindi ambacho kulikuwa na vuguvugu la gesi. Kwa sasa ukweli wameuona na wameamua kuachana na vyama vya kitapeli na kilaghai.
Chanzo: TBC1 Habari
Jinyonge na dhambi zako.Dhana ni dhambi,kwa mujibu wa imani ya dini nayoiamini mimi,so inanipa shida unaponidhania maana wapata dhambi
Vipi Lukuvi, Membe na yule DC bado wanamhujumu mkuu wa nchi kama ulivyotuaminisha siku cha zilizopita?Mkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. Kichekesho
Hta kujinyonga ni dhambi,ndio maana mtu anayejaribu kujiua Jamhuri humshtakiJinyonge na dhambi zako.
Hio ni ziara ya kiserikaliNavy boi, mimi sijakataa kwamba waziri ni mwanachama wa CCM. Nahoji kama hiyo ni sahihi kuiita ziara ya kiserikali. Waweza kuwa mwanajeshi lakini ukaenda ziara ya kifamilia. Kwa hiyo si kila ziara ya waziri ambaye ni mwana CCM ni ya kichama. Kwani wewe ndugu kweli hujui hilo? Hujui tofauti ya ziara ya kichama na ziara ya kiserikali?