CUF yaendelea kumeguka ambapo Vijana zaidi ya 300 wajiunga na CCM Mtwara

Hakuna cha vijana 300 wala nini. Ni uongo uliokubuhu unaoenezwa na CCM. Mtwara ni ngome na itaendelea kuwa ngome imara ya CUF. Hao hawajawahi kuwa wanachama wa CUF bali ni vijana wachache wenye njaa na ambao wanataka kujipatia kipato ili kukidhi njaa waliyonayo. Hadi leo ukipita kwenye mitaa ya Mkana Red, Mangowera, Ligula, Chikongola, Kisutu, Likonde, Magomeni, Mangamba, Mdenga hadi Msanga mkuu ni mitaa ambayo hutakuta bendera ya CCM inapepea isipokuwa kwenye ofisi ya tawi. CCM hapa Mtwara mjini ni kama imekufa.
Kama kawaida ya maukawa kuwakana member wake

Wakirudi CUF mnasema wenu
hahaa

Wakisema ukweli
Wanakuwa Wasaliti.

Nia tunayo
Uwezo tunao
Na Sababu tunayo
kuzuia UKUTA WA WALEVI
 
Cuf tuliwaambia hiki chama kitakufa baada ya wazalendo kama lipumba kuondoka baada ya kujiunga na kile chama cha familia nikajua kazi imesha hakuna kipya tena.
 
Mkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. Kichekesho
Kwani vyama vyengine visharuhusiwa kufanya mikutano ya siasa kutafuta wanachama wapya?
 
Ni wale wale wa ccm wanafeuza gia ya kwanza na reverse...ili kukunja mkwanja.....
 
Back
Top Bottom