CUF yaendelea kumeguka ambapo Vijana zaidi ya 300 wajiunga na CCM Mtwara

Hata kama chanzo cha taarifa ni TBC1 habari sasa ndio iwe hivi; vijana zaidi ya 300 walioachana na CUF na kujiunga na CCM ambapo kwa sasa wameamua kuchapa kazi kupitia kikundi chao za ujasiriamali kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga. kwahiyo sasa hivi ccm kimekuwa ni kikundi cha ujasiriamali cha mbogamboga?
 
CUF ni miongoni kwa vyama vichache Tanzania chenye wanachama wa damu kabisa, yaani hao wanachama wa CUF kanda ya Kusini wana sababu zao za kuwa CUF ambazo CCM wala Chadema hazipo
Wameenda kupiga hela tu hao kwenye mioyo yao bado ni CUF
sababu kubwa ni DINI kama ilivyo Pemba na Tanga
 
CUF wanajua kwanini chama chao kinakufa kwa upande wa Bara
Wameingia mtego wa UKAWA na wamekwisha,hapa ni CCM Pale Chadema,CUF tupa kulee
 
Hata kama chanzo cha taarifa ni TBC1 habari sasa ndio iwe hivi; vijana zaidi ya 300 walioachana na CUF na kujiunga na CCM ambapo kwa sasa wameamua kuchapa kazi kupitia kikundi chao za ujasiriamali kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga. kwahiyo sasa hivi ccm kimekuwa ni kikundi cha ujasiriamali cha mbogamboga?
Duh! Umevurugwa wewe
 
Eti maelfu kwa maelfu, hivi wewe maana ya maelfu au unalitumia hili neno kwa siasa zako za Uchwara?
 
Aisee Siasa mchezo wa ajabu sana duhh
Yaani watu sasahivi badala ya kuwapelekea maendeleo wananchi wao majimboni wanazua kiki,ili kuchukua akili za watu ikifika miaka mitano waseme kwamba walikuwa wanapambana.
Wapo wanasiasa wanamiliki magazeti,sasa hizi kiki kwao ni biashara na inawaingiza pesa nyingi sana,ila nawaonea huruma wale wabunge wengine wa Upinzani ambao wanania njema sana kwa wananchi wao wanapozidiwa na Viongozi wao wakuu kwa maslahi yao na kulazimisha lazima wafuata mkondo wa maamuzi ya Wakuu wao.
Hili ni Janga sana
 
Muda wa kupitia michango yangu sina ila nna uhakika sijawahi kujinasibu kuwa mimi ni CCM au wa chama cha upinzani,nimejengwa kwenye misingi ya kuhoji,kudadisi,kukosoa na kusifia pale inabpobidi ila si kushabikia chochote bila tafakuri,
ndo maana ya PL 111 na PL 100
Jaribu kupitia michango yako ya awali uone uongo wako.
 
Chama cha Wananchi, CUF kimeendelea kusambaratishwa Tanzania Bara. Maelfu kwa maelfu ya wafuasi wake wameendelea kukikimbia chama hicho na kujiunga na chama kubwa, CCM. Safari hii ni zamu ya vijana zaidi ya 300 walioachana na CUF na kujiunga na CCM ambapo kwa sasa wameamua kuchapa kazi kupitia kikundi chao za ujasiriamali kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga.

Wanachama hao wamepokelewa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura alipofanya ziara ya kikazi mkoani humo.

Vijana hao wamesema kuwa wakati wanajiunga na CUF walishawishiwa kipindi ambacho kulikuwa na vuguvugu la gesi. Kwa sasa ukweli wameuona na wameamua kuachana na vyama vya kitapeli na kilaghai.

Chanzo: TBC1 Habari
Kumbe yeye anaruhusiwa kufanya siasa??
 
Mkuu, watu wakihama kwenye vyama vyenu na kujiunga na CCM mnasema si big news ila wakihama CCM na kujiunga na magenge yenu mnaitisha Press tena inarushwa live. Kichekesho
Nakuambia hivi KUHAMA CHAMA KWA SASA SIO HABARI KABISA SIO MAGAZETINI TU HATA MITANDAONI,,,,
It doesnt pay
 
It doesn't pay
 
Chama cha Wananchi, CUF kimeendelea kusambaratishwa Tanzania Bara. Maelfu kwa maelfu ya wafuasi wake wameendelea kukikimbia chama hicho na kujiunga na chama kubwa, CCM. Safari hii ni zamu ya vijana zaidi ya 300 walioachana na CUF na kujiunga na CCM ambapo kwa sasa wameamua kuchapa kazi kupitia kikundi chao za ujasiriamali kinachojishughulisha na kilimo cha mbogamboga.

Wanachama hao wamepokelewa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura alipofanya ziara ya kikazi mkoani humo.

Vijana hao wamesema kuwa wakati wanajiunga na CUF walishawishiwa kipindi ambacho kulikuwa na vuguvugu la gesi. Kwa sasa ukweli wameuona na wameamua kuachana na vyama vya kitapeli na kilaghai.

Chanzo: TBC1 Habari
MWANACHAMA WA CUF KUTOKA CUF NI SAWA NA MTU KUBADILI DINI UKIONA HIVYO WANAFUATA MIKOPO IKIISHA WANARUDI CHAMA DAMU
 
CUF YA WAKATI HUU IMEIMARIKA ZAID KULIKO WAKATI WOWOTE.HAYO YA MTWARA YASIKUDANGANYE.
 
CUF YA WAKATI HUU IMEIMARIKA ZAID KULIKO WAKATI WOWOTE.HAYO YA MTWARA YASIKUDANGANYE.
Vigezo kwamba imeimarika? Tangu uchaguzi wa mwaka jana sijawasikia kabisaa wakifanya vikao ni sawa na Nccr. Namiona tu Mtatiro mitandaoni amekuwa mpiga debe wa Lowassa.
 
Back
Top Bottom