hamad rashid mnafiki mkubwa, hana lolote, mbona znz yeye alikuwa wa kwanza kutomtambua karume kwa kutokushinda urais, hadi serikali ya umoja wa kitaifa ilipoundwa na kuua upinzani znz ndio wakamtambua na chadema wanafanya hivyo hivyo na hatutaki serikali ya kuunganisha chadema na ccm, tulishinda kihalali, hamad alitaka achaguliwe awe tena kiongozi wa upinzani bungeni kakosa, chadema waliona huyu si mpinzani ni mkinzani, safiiiii, he is a scraper
mi naona cuf wanafiki ,mbona wakati wakiwa wapinzani zanzibar walikuwa wanaenda kujaliana na ccm wenyewe waka waacha vyama vingine havikushirikishwa mpaka wamefunga ndoa na ccm kama angekuwa na moyo huo huo kule zanzibar wakati wa majaliano ya muafaka angewaambia ccm,lazima vyama vingine vishirikishwe lakini wameenda wamejadili wenyewe vyama vingine nakumbuka vilipiga kelele lakini wapi mi nafikri cuf sio wapinzani tena wao wapo na ccm kama vyama tawala