chadema haiwezi kuogopa cuf au ccm zaidi hivyo vyama viwili ndio vinachanganyikiwa wakisikia chadema inakuja na ndio maana hawaishi kuzikopi sera na hoja za chadema, ebu jiulize kama kuna siku chadema walishawahi kuidandia hoja au sera ya chama chochote kati ya hivyo viwili
Duh! chadema imedandia hoja zifuatazo za CUF
a. Kuongea na kuwa na muafaka na ccm (ikulu juice)
b. Serikali tatu sera ya cuf; nyinyi ilikuwa ya majimbo mkadrop..list can go on..