CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

chadema haiwezi kuogopa cuf au ccm zaidi hivyo vyama viwili ndio vinachanganyikiwa wakisikia chadema inakuja na ndio maana hawaishi kuzikopi sera na hoja za chadema, ebu jiulize kama kuna siku chadema walishawahi kuidandia hoja au sera ya chama chochote kati ya hivyo viwili

Duh! chadema imedandia hoja zifuatazo za CUF
a. Kuongea na kuwa na muafaka na ccm (ikulu juice)
b. Serikali tatu sera ya cuf; nyinyi ilikuwa ya majimbo mkadrop..list can go on..
 
Igunga walikua na mtaji wa kura elfu 10 wakaangukia pua,sasa huko arumeru na mtaji wao wa kura 265 si watapata kura mbili tu ya mgombea na mkewe!
 
Kutegemea kitu kinachoitwa mtaji ndo kilichowaponza CUF Igunga.

So take CARE.

Hiyo ya mkewe sahau, labda yake mwenyewe ingawa hata hiyo yake kama mgombea ina wasi wasi!
 
Hiyo ya mkewe sahau, labda yake mwenyewe ingawa hata hiyo yake kama mgombea ina wasi wasi!

Mbona naona mnaiogopa CUF kupita ccm?

Watapata kura nyingi zaidi lakini hawatashinda for sure;

Ni vizuri washiriki kwa nguvu sana kuongeza ili ya uraia na kuongeza uhai wa chama..pande za kaskazini
 
Mtatiro njooni mtapanye pesa ya cuf+magamba kamwe Meru hakunaga ndoa ya jinsia moja kama yenu na masagamba.
 
Labda mtatiro angesema kuwa Wanajiandaa kwenda kuisaidia CCM kampen kama walivyofanya Igunga na Uzini.
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe
Ushauri wa bure kwa Mtatiro na CUF kwa ujumla, achaneni na chaguzi ndogo kwa sasa. Mnapoteza rasilimali za chama bure kabisa. Imarisheni chama kwanza na kurudisha imani ya wananchi kwenu.

Mbona naona mnaiogopa CUF kupita ccm?

Watapata kura nyingi zaidi lakini hawatashinda for sure;

Ni vizuri washiriki kwa nguvu sana kuongeza ili ya uraia na kuongeza uhai wa chama..pande za kaskazini
Wanashindania nafasi ya pili hao.
 
Nafikiri hapa JF mmezidi kuongelea ukabila na Udini zaidi hata hao manazi wenyewe. Kwanini tusilisahau hili tukaanzisha dizaini nyingine ya kukosoana??? Tulitokomeze hili jamani limeota mizizi mno humu
 
KUSEMA KWELI CUF INAKUBALIKA SANA ARUMERU MASHARIKI,MTATIRO NI WAKATI SASA WA KUKODISHA HELKOPTA MBILI

LAZIMA MCHUKUE JIMBO KAMA IGUNGA KUDAdEKI
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe
Namshauri atumie zile strategy za Igunga ili kuwa na mafanikio ahahaha...
 
Kutegemea kitu kinachoitwa mtaji ndo kilichowaponza CUF Igunga.

So take CARE.

Ndugu,

Ni kweli kabisa, ila ukumbuke Igunga CHADEMA ni kama vile haikuwepo kabla ya uchaguzi wa marudio (hawakuweka hata mgombea katika uchaguzi mkuu 2010). CDM imeanza baada ya kujiuzuri kwa Rostam na ikapata ilichokipata. Matokeo ya CHADEMAIgunga yanakipa uchindi maana ushawishi wa sera ulikuwa wa hali ya juu sana mpaka CUF hawakuamini.

CHADEMA ipo Arumeru Mashariki, utakumbuka ilipata zaidi ya kura 19,000
 
Back
Top Bottom