Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa