CUF, chama chenye sura ya muungano 100%

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa
 
fake post....
 
chama feki ni chama chochote kinacho amsha hisia zilizolala kwa kudhani eti kupitia vurungu hizo ndo upate madaraka. na hao viongozi wa chama ukiangalia cv zao unakuta zimechafuka.
 
asante kwa upupu usio na reference ya chama chochote, kiongozi yeyote wala nchi husika .... hapa ni JF bana hakuna mipasho kama bungeni bandika post yenye vithibitisho au challenge kwa mifano hai..... nafsi yako inajiridhisha kabisa kwamba nawe umepost kitu
 
babu chama chenye mlengo fulani unakijua kwa dhati, chama ambacho hata move za maandamano hupewa baraka na viongozi wanaojiita wa kiroho

Yeah hata matamko yao hutokea siku za Ijumaa! Imams huongoza
 
babu chama chenye mlengo fulani unakijua kwa dhati, chama ambacho hata move za maandamano hupewa baraka na viongozi wanaojiita wa kiroho

are you a born again at JF or a new member .... mbona unavimajungu majungu hivi ..... wala sikuelewi..! lol
 
asante kwa upupu usio na reference ya chama chochote, kiongozi yeyote wala nchi husika .... hapa ni JF bana hakuna mipasho kama bungeni bandika post yenye vithibitisho au challenge kwa mifano hai..... nafsi yako inajiridhisha kabisa kwamba nawe umepost kitu

Very true,
 
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa

..after all sisi Watanganyika hatuuhitaji kabisa muungano ufe hata leo. Wenye wabunge unguja/pemba wanapoteza resources na muda wao tu.
 
faida za muungano ni ndogo kuliko hasara tunayopata tukiwa na muungano! bora ufe tukienda zanziber tunaenda nchi nyingine na hii itasaidia hata wenye biashara/branch zanziba watajiita internation busness itaongezaa cv zao, na wale wapemba wenye biashara kkoo watapanda hadhi na kujiita wa kimataifa,
 
kawaida ya upupu humuwasha aliyeuchezea. Pole sana kwa kuwashwa. And 4dat real u knw the truth. Siasa za mihemuko tuachane nazo zitaipeleka Tz tusipopahitaji.
 
Katika Tanzania chama pekee cha siasa ambacho kina uwakilishi wa kuchaguliwa na wananchi sehemu zote za Muungano ni CUF. Pamoja na kuwa na wabunge wachache tofauti na CCM au CDM, CUF ni chama ambacho kinakubalika kila upande wa Tzania. CCM hakina sura ya Muungano kwa kuwa kinakubalika Tanzania bara na Unguja pekee kwani ndipo mahali pekee kilipopata madiwani na wabunge, kisiwani Pemba wametoka kapa. CDM ndio kabisaaa, wamepata Tanzania bara tu na visiwani wamechemsha. CDM ndo hawana sura ya muungano kabisa

CUF kimeungana na chama tawala (CCM) na hivyo kupoteza sifa za kuwa chama shindani. Unapopoteza sifa za kuwa chama shindani na kuwa sehemu ya chama tawala huna sifa za kujenga muungano kwa asilimia 100. Kama hiyo ndiyo ingekuwa sifa ya CUF, basi kingeunganisha vyama shindani vyote ili vipate kutoa chngamoto kubwa kwa chama tawala na hatimaye kukingo'a CCM madarakani na kuleta mabadiliko katika maendeleo ya nchi. Kwa kifupi, CUF hakina sifa za kuwa na sura ya muungano bali kumwezwa (kuwekwa mfukoni, kunyamazishwa) na chama tawala (CCM)!
 
are you a born again at JF or a new member .... mbona unavimajungu majungu hivi ..... wala sikuelewi..! lol

kawaida ya upupu humuwasha aliyeuchezea. Pole sana kwa kuwashwa. And 4dat real u knw the truth. Siasa za mihemuko tuachane nazo zitaipeleka Tz tusipopahitaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom