Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,567
Huyu ni mtaalamu wa publicity
Kumbe kichwani ni mweupe sana.... 🤣 Nimefurahi kugundua hili. Popes hawa si ndo inasemekana walitengeneza uislamu?Papa aliyekuja Tanzania unafahamu kisa kilichomtowa kwenye upapa mbio mbio? isijekuwa ni huko kusujudu.
Jiulize na katafute sababu za yeye kujitowa upapa.
Kumbe "inasemekana"!? Yanayosemekana ni mengi sana, Waislam hatufati yanayosemekana, muongozo wetu wa kwanza ni Qur'an.Kumbe kichwani ni mweupe sana.... 🤣 Nimefurahi kugundua hili. Popes hawa si ndo inasemekana walitengeneza uislamu?
WE BIBI MBONA UNAZUNGUKA NIMEKULIZA NI WATU WA DINI GANI WANA UTAMADUNI WA KUSUJUDU MBONA UNAKUA KAMA PUNGUANIKila mtu anatakiwa kumsujudia Muumba wetu tu.
ELIMU, ELIMU, ELIMU.Ronaldo kafunga goli akasujudu kama tufanyavyo Waislam.
Hakuna swali lako ambalo sijalijibu. Niache kukujibu wakati hapa nafanya da'awa. Labda unaota.Yaani bibi faiza unaniuliza swali badala ya kujibu maswali yangu kwanza...Acha uhuni wa kitoto,,wewe ndio mleta mada sasa lazimaa ujibu maswali yetu kwanza kabla hujatuuliza maswali.
ELIMU, ELIMU , ELIMU.Naam, neno la kwanza kilishushwa kwenye Qur'an ni SOMA. Hata hilo neno "elimu" msingelijuwa bila ya Qur'an.
Kumbuka hayo.
Umeyakwepa maswali yangu kama kumi hivi Bibi Faiza.Hakuna swali lako ambalo sijalijibu. Niache kukujibu wakati hapa nafanya da'awa. Labda unaota.
Unajuwa maana ya da'awa?
Andika vizuri wewe binti kwasababu hapo umeongea kihisia tu vipi mtu akifanya hivyo ndio dalili ya kuwa muislamu?Useme wewe uniulize mimi? Ajisilim si, ndiyo japinga manakoozwa na kuruhusu mashoga, hupajuwi?
Muumba wenu nyinyi waislamu au???Kila mtu anatakiwa kumsujudia Muumba wetu tu.
Na huyo maria alisilimu baada ya kuolewa na Mohammad?Hayo yako unajitungia tu, ni fikra zako za kijinga tu.
Uislam ukipewa zawadi ya binti ni mke, siyo kahaba.
Halafu usishangae hilo, hata mkuu wa Kanisa la Kikoptik alimzawadia mtume Muhammad, salla Allahu alayhi wasalaam, binti mbichi, Bi Maria AlKibtiya, akawa mkewe na AlhamduliLlah akajaaliwa nae mtoto anaitwa Ibrahim.
Nawashangaa mnaojiita wakristo sasa hivi msioelewa maana ya Uislam.
Hata wayahudi husujudu usiwe kipofu wa dini.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Wewe mbona unazikaa Hadithi za Mudi?Uislam ni dini ya walimwengu wote.
Unafahamu maana ya neno Uislam?
Kwahiyo Mudi aliukuta Ukristo ?Hayo yako unajitungia tu, ni fikra zako za kijinga tu.
Uislam ukipewa zawadi ya binti ni mke, siyo kahaba.
Halafu usishangae hilo, hata mkuu wa Kanisa la Kikoptik alimzawadia mtume Muhammad, salla Allahu alayhi wasalaam, binti mbichi, Bi Maria AlKibtiya, akawa mkewe na AlhamduliLlah akajaaliwa nae mtoto anaitwa Ibrahim.
Nawashangaa mnaojiita wakristo sasa hivi msioelewa maana ya Uislam.
Kusujudu ni nini?Kwamba Wakristo huwa hawasujudu?
Mimi kila nikipata nafasi huwa namsujudia Mungu wangu...kwakua Mimi sijashikwa akili kama wewe kwakua umekimbia maswaliCoptic siyo catholic.
Huelewi unachokisoma?
Umemuona Ronaldo kapiga bao akasujudu? Wewe lini ulisujudu?