Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.
Jingine ambalo limesababisha kushuka kwa share ni vile NMB walivyofloat share zao, investors wakawa wanachoice nyingi na appertite pia ikabadilika.
Angalizo; Share price sio lazima ziongezeke zinaweza kupungua pia, rejea TOL na FTSE 100, utaona ni kiasi gani shares za kampuni ziliporomoka.
Asante kwa shule hii,i think its vital we all listen and learn than speculate and shout