CRDB: Sikio la kufa!?

Isae!
Una uhakika kwamba unakatwa elfu tatu kila mwezi?
mimi pia ni mteja mwenye akaunti yangu na ya mtoto,nijuavyo mimi benki ilitukata elfu 3,000 mwezi wa nane kama malipo ya card ya visa!
sidhani kama wateja wote wa CRDB nchi nzima wangekaa kimya kwa kukatwa elfu tatu kila mwezi!kuwa mkweli ndugu yangu
Labda kwa mwaka sio kwa mwezi....we buku tatu sio mchezo bana!!
 
Brooklyn,
That is a very serious accussation! Do you have facts that the Bank is cooking its financials? How about other Banks? Hapa mimi naona kwamba huu ni uonezi wa hali ya juu kwa benki ya CRDB ambayo imeuinua uchumi wa nchi hii na watanzania kwa ujumla. Hao wanaouwatuma kuwa makuadi wawe wanawapata na facts. Tuwe professionals tusiwe wazushi, wajinga . Watanzania tumeelimika tuna-analyse mambo sio kusikiliza majungu. kama mtu huna kazi au una personal grudge na mtu au unakuwadi kwa ajili ya benki fulani ukumbuke kwamba benki ya CRDB ni ya watanzania. Unachofanya unawakuza wazungu. Mimi nilinunua share toka benki ilipoanzishwa tena 1996 toka mwaka unafuatia mpaka leo napata dividend yangu kila mwaka na imekuwa ikiongezeka. je wangekuwa wapika mahesabu dividend ingetoka wapi? tena nono? Naomba utupe facts na sio hearsay.

Asia mi nafikiri una panic bure, ukirejea post yangu iliyopita nilikuwa najibu hoja ya kwamba "eti hata hao jamaa wakiuza share zao CRDB can still float its shares". Hili ndilo nililokuwa nalizungumzia, na nimelieleza kitaalamu kabisa. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mienendo ya masoko ya Hisa utafahamu kuwa perception ya market players ndio ina athiri kwa kiwango kikubwa kupanda ama kushuka kwa bei za hisa (let alone the performance).

Utaona hata katika GFC inayomalizika hivi sasa, kampuni nyingi ziriathirika kutokana na perception ya market players. Ndio maana soko la hisa la NY na London yalipotetereka moja kwa moja tukaona masoko mengine ya ulaya na asia yakianza kuterereka.

CRDB kumilikiwa na watanzania si kinga ya kutoanguka wala kutopika financials zake (sisemi kama wanapika). Utakumbuka kwamba Enron ilidondoka miezi 9 tu baada ya kutangaza faida ya mwaka uliotangulia (na pia miaka 12 nyuma ilikuwa ikipata faida tu). Kwa hiyo wewe kupata gawio toka CRDB Ltd ianzishwe si kinga ya share zake kutoporomoka!! Enron hao hao August 23, 2000 price per share ilikuwa US$ 90 na Nov 28, 2001 bei ikashuka mpaka kufikia below US$ 1.

Ndio maana nika emphasise katika kuimarisha CMSA na DSE ili ziweze kutusaidia wawekezaje si wa CRDB tu bali watanzania kwa ujumla!!

Sina hard feeling na CRDB bali huo ni mtizamo wangu huru tu.

Tuambiane ukweli hata kama unauma
 
Good Points.

One thing kwa uelewa wangu nafikiri once kampuni ikishaingia kwenye secondary market kama ambao CRDB imeingia shareholders wanatrade stock zao huko huko. Kama ambavyo mimi siwezi kwenda CRDB kusema narudisha my 100 shares nataka hela zangu, I would imagine neither can DANIDA. They would have to put them on offer through DSE kama everyone else and wait for a buyer. I may be wrong though, them being large shareholders and all. My thinking is if DANIDA and CRDB have a fallout and what the original posters says is allowed, who determines how much CRDB pays DANIDA to "buy back" its shares?
 
CRDB can float the same shares through IPO if these investors go! let them go. there was a massive over subscription during the last offer. it is nt a big deal.

Massive over subscription mzee si kigezo cha utendaji mzuri wa kampuni kibiashara.Capital base iki collapse hizo IPO shares zinabaki kuwa worthless pieces of papers.Walioko Marekani,Europe na Japan wamejifunza hili the hard way.
 
Unazungumzia kufloat, unajua balance ya demand na supply ikoje? Wakifloat zitauzwaje? Bei itakuwaje? Issue si kufloat tu
Labda hili jambo ulitaka uambiwe na mzungu ndio uamini eeh? Mbona Serikali walipojitoa, Benki ikauza share zake kwenye soko la hisa, na wabongo waka subscribe hadi share zikaisha na wengine wakakosa. Mbona si zamani sana kusema eti hukumbuki?

Kwahiyo hata hao wakijiondoa, the same approach can be taken!!
 
Massive over subscription mzee si kigezo cha utendaji mzuri wa kampuni kibiashara.Capital base iki collapse hizo IPO shares zinabaki kuwa worthless pieces of papers.Walioko Marekani,Europe na Japan wamejifunza hili the hard way.
ceteris paribus, tunaambiwa CRDB iko vizuri. kwahiyo usiwe na hofu ndugu.
 
Hizi tetesi mtaziendekeza mpaka lini maana kila kitu kiko online data zote zipo,
sasa jamani hii Benk mimi nadhani ndio Benk ambayo unaweza kusaidika bila matatizo yoyote ukilinganisha na zingine na kweli kabisa hii benk ipo juu imekaa systematical wamekuwa waki improve siku hadi siku and I can say is the Bank that listen,

kwenye website ya CRDB Bank (www.crdbbank.com) nimeweza kujionea mafanikio ya CRDB Bank mwaka hadi mwaka, na pia current shareholding structure.
CRDB ni Benki ya watanzania jamani, Na crdb wanania nzuri sana Nia ya kuweka mfumo uliopo wa wanahisa na kuhakikisha kwamba hisa zote hatimaye zinamilikiwa na Watanzania ni jambo la kiungwana sana na kutujali sisi wazawa, na matokeo yake kuifanya CRDB Bank kuwa benki pekee inayomilikiwa 100%

Na sisi lakini kama tutakuwa tukikaa na kusubiri ili ianguke nadhani tutakuwa sio wazalendo sisi kama jamii tulipaswa tuiwezeshe ili mambo yawe sawa mfano tulipaswa kuiweze crdb iwe ya watz 100% na kitendo cha crdb kuwa na wazungu sio kwamba ndio imefika hapo hilipo kwani makampuni mangapi yanakufa pamoja na wazungu wakiwepo hiyo ni juudi ya watanzania wenzetu ambao ndio viongozi wa crdb wameamua kweli kweli kusimamia na inatusaidia sana nikiwa mmoja wapo.

Nadhani sisi wenyewe tunajione maana maendeleo ya hiyo bank yanaonekana hata kwa macho mfano Tarime kulikuwa hakuna crdb ilinibidi niende msoma kuchukua pesa lakini leo hii ukienda Tarime kuna crdb na ATM za kutosha na bado watu wanapata ajira.

hapo ilipo fikashwa na watz wenzetu ni hatua nzuri mara nyingi tumekuwa tukishindwa kusimamia mambo mengi ila inapotokea mwenzetu kafanya kitu tuwe wazi na moyo wa busara kumuunga mkono na kumpa haki yake ya pongezi.

Tupige mzigo, Tuache uvivu, Tupendane, Tuijenge nchi, Tupinge ufisadi nchi yetu isonge mbele.

Labda hili jambo ulitaka uambiwe na mzungu ndio uamini eeh? Mbona Serikali walipojitoa, Benki ikauza share zake kwenye soko la hisa, na wabongo waka subscribe hadi share zikaisha na wengine wakakosa. Mbona si zamani sana kusema eti hukumbuki?

Kwahiyo hata hao wakijiondoa, the same approach can be taken!!
Sijui dhana ya uzungu umeitoa wapi hapo? Unaissue share huku ukitoa sababu kuwa kuna watu wanatoa share zao kwa sababu hawaridhishi na utendaji wa benki. Unadhani kuna rational investors watanunua? Image ya benki hapo inakuwaje? Km benki inahusika na pesa chafu, km unakumbukumbu na ile benki ya Italy, unadhani nini kitafuata? Regulators wakiingia kati?
When it comes to investment perspective, mbona zamani as you have narrated above doesnt hold. Punguza mbona kaka!
 
Hoja inayojadiliwa hapa haina msingi imara, inaonyesha wengi hatuelewi haya mambo ya hisa na uhamishaji wake hasa kampuni inapokuwa imesajiliwa kwenye masoko ya hisa na mitaji.

Nashauri tujielimishe zaidi juu ya mambo haya, hasa mleta hoja. Nitakuwa wa kwanza kumpongeza kama atakuja siku moja na hoja yenye kutuelimisha zaidi baada ya yeye mwenyewe kufanya utafiti zaidi.

KWA WAFUATILIAJI WA MAMBO YA HISA TATIZO LA CRDB KWA SASA NI KUSHUKA KWA KIWANGO CHA AJABU CHA BEI YA HISA YAKE SOKONI. BEI YA HISA YA CRDB KWA SASA NI SHILINGI 157/= TU NA INAENDELEA KUSHUKA. HILI NDILO BOARD NA MANAGEMENT INATAKIWA KUTUPA MAJIBU SAHIHI. NAYAKUMBUKA VIZURI MAJIBU YAO KWA MH. MUNGAI HAPA ARUSHA KWENYE MKUTANO MKUU MWAKA HUU. NITAFURAHI KUPATA MAJIBU.
 
Account nyingi za scam ya EPA zilifunguliwa CRDB!Bikla shaka Kimei anajua everything,wafanyakazi wa hayo matawi etc.CRDB kuna collusion kati ya Bodi ya Wakurugenzi,na Uongozi wa Benki.Ni aibu,lakini hii ni bongo,uswahili,ujinga,upumbavu,unyani etc.
 
Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.
Jingine ambalo limesababisha kushuka kwa share ni vile NMB walivyofloat share zao, investors wakawa wanachoice nyingi na appertite pia ikabadilika.
Angalizo; Share price sio lazima ziongezeke zinaweza kupungua pia, rejea TOL na FTSE 100, utaona ni kiasi gani shares za kampuni ziliporomoka.
 
inasikitisha kwamba forum hii ya great thinkers tunazungumzia jambo la uzushi kwa benki ambayo ndio imebeba uchumi wa tanzania.

Je tunayo elimu ya kutosha kuhusu masoko ya hisa na utendaji wake au tunakurupuka tu? Kwa nini tusiombe wataalamu wakatusaidia?

Hii ni forum nzuri ya kuzungumzia maendeleo ya uchumi wa nchi yetu lakini sio uzushi tujikosoe wenyewe tubadilike.

Mungu ibariki tanzania! Mungu ibariki benki yetu ya crdb

deci mlisema haya haya best...watu wanasaga meno..meridian biao bank the same...waacheni wenye kutafuta ukweli walifwatilie na kama kweli jamani amisheni pesa zenu ccm wahuni wanaanza kutafuta pesa za kamoeni kupitia bank na mashirika ya umma..hapo penye 3000 pengine 1000inaenda mfuko wa chama cha mampinduzi kuchangia campaign 2010...huo ndio uchumi wa tanzania....hilo la kukatwa walala hoi nalo mnasemaje??
 
Brooklyn,
That is a very serious accussation! Do you have facts that the Bank is cooking its financials? How about other Banks? Hapa mimi naona kwamba huu ni uonezi wa hali ya juu kwa benki ya CRDB ambayo imeuinua uchumi wa nchi hii na watanzania kwa ujumla. Hao wanaouwatuma kuwa makuadi wawe wanawapata na facts. Tuwe professionals tusiwe wazushi, wajinga . Watanzania tumeelimika tuna-analyse mambo sio kusikiliza majungu. kama mtu huna kazi au una personal grudge na mtu au unakuwadi kwa ajili ya benki fulani ukumbuke kwamba benki ya CRDB ni ya watanzania. Unachofanya unawakuza wazungu. Mimi nilinunua share toka benki ilipoanzishwa tena 1996 toka mwaka unafuatia mpaka leo napata dividend yangu kila mwaka na imekuwa ikiongezeka. je wangekuwa wapika mahesabu dividend ingetoka wapi? tena nono? Naomba utupe facts na sio hearsay.

..ungeiweka katika mfumo wa tangazo la biashara ingefaa sana. Wengi ni wateja wa hiyo benki, lakini hatujaestablish facts za kukanusha yasemwayo, kwa kuwa tumeishi vya kutosha kuelewa kuwa Tanzania lolote linawezekana, unaweza kuamka asbh na kukuta mambo yote yamebadilika, unless kama wewe ni insider, basi tupe facts, lakini kama ni mteja kama mimi acha kutoa matusi tupe facts.
Umakini wa CRDB uliujua lini? Walikosaje umakini waliposhiriki uhamishaji wa fedha za walalahoi kupitia RICHMOND?
 
Kama walivyosema wachangiaji na uzoefu wa soko letu, kinachotokea Huko nje ni tofauti na hapa. Wale wataalamu wa masoko ya fedha na uchumi wnajua fika soko letu liko tofauti na mara nyingi lina-behave tofauti na nadharia zao wataalamu hawa. Angalia kila jumatano pale benki kuu ni pesa ngapi zinakosa kuwekezwa (weekly/monthly auctions) kwenye dhamana za serikali na zinabaki mikononi mwa watu? Hizi na institutional investors wengi watazigombania hisa za DANIDA mara moja zikeinda sokoni. Mimi wasiwasi wangu ni kwamba wakiondoka Danida, mchango wao katika uongozi wa benki tutaukosa sana !!! Najua wengi watajiuliza sana, lakini hao jamaa wanamchango mkubwa sana katika uendeshaji wa benki-japo nao wanamatatizo yao kiasi.
Ikumbukwe wakati benki hii inachungulia kaburi ni Danida kwa uzoefu wao ndio wakaingia pale na kubuni mpango mkakati wa kuifufua na wakaja na suala la kuuza hisa kwa wanachi, vyama vya ushirika na wakaweka ceiling za kununua hisa kwa mtu mmoja na makampuni, benki ikaamka na sasa inatesa.
 
Ni point nzuri kuna issue ya institution investor km ulivyosema na mwishoni unakiri mchango wa uongozi wa DANIDA umeisaidia benki kufika hapo. Sasa km faida ya benki inategemea uongozi wa kundi linaloondoka unadhani institution ipi ipo tayari kupeleka pesa sehem ambapo ina my opinion hapako stable? Maana wataingia watu wengine ambao uzoefu wao haufahamiki kama DANIDA, in the end hata instituions zenyewe zitakuwa na uwezo wa kubargain share price na ndio hapo poromoko la bei linaanzia.
 
Mbona umekuwa mwepesi wa kuconclude? Kuna mambo mengi yanachangia kuongezeka na kupungua kwa hisa. Hoja ya kwamba hisa zitaendelea kushuka sijui umeitoa wapi. Tunataraji demand na supply ya hisa zenyewe ndiyo iamua share prices zinaelekea wapi. Hiyo mara nyingi inasababishwa na information zilizopo kwenye market. Mf information kwamba bank inapitisha pesa chafu ilipaswa kabisa kuifanya performance ya benki iwe mbaya na hii ingekuwa reflected kwenye share price. Kwa nchi km yetu market si efficiency ila katika hali yoote jamaa wakijiondokea share prices zitakwenda chini zaidi. unless waondoke taratibu. Lingine ni future potential ya benki. Kwa CRDB hili si baya maana ndiyo inaonekana kuwa the leading bank in the country.
Jingine ambalo limesababisha kushuka kwa share ni vile NMB walivyofloat share zao, investors wakawa wanachoice nyingi na appertite pia ikabadilika.
Angalizo; Share price sio lazima ziongezeke zinaweza kupungua pia, rejea TOL na FTSE 100, utaona ni kiasi gani shares za kampuni ziliporomoka.
Do you think IPO subscribers in Tz behave rationally? They oversubscribed CRDB shares at the time when there was information that the bank was also involved and facilitated money laundering process. (EPA) case! though, CRDB management constantly denies these allegations.

That's where this argument lies, if these DANINA & other venture capitalists leave, there will be immediate option for the bank, and that is to float shares through IPO to the Wananchi.
 
Account nyingi za scam ya EPA zilifunguliwa CRDB!Bikla shaka Kimei anajua everything,wafanyakazi wa hayo matawi etc.CRDB kuna collusion kati ya Bodi ya Wakurugenzi,na Uongozi wa Benki.Ni aibu,lakini hii ni bongo,uswahili,ujinga,upumbavu,unyani etc.

Iam sad to say kwamba ur the dumbest,stupid and currupted minded person ever.yaani umefikia kutukana utanzania wetu kwamba ni ujinga,upumbavu na unyani?unatukuza uzungu?unatukana kwenu?
modern day slave huh? pity
 
Back
Top Bottom