mwanaume majukumu kama huyawezi jua wewe sio..Smile,mabinti nyie hovyo kabisa,usumbufu kila kukicha,mara karolaiti,mara disco mara sijui nini,bora nitulie zangu na sugar momy asie na makuu!
Ni mada pana sana. Ila najua Moyo wangu hautampenda kiserengeti boy kamwe wala libabu, Moyo unanywea wenyewe...
vijana wa siku hizi wengi ovyo kabisa ni aibu kwa kijana wa kiume kuishi kwa kuendekeza tamaa mbele
hata wakisema wadate mabinti wa umri wao wanataka wale wenye pesa ...ndo maana utasikia mimi natafuta binti awe na kazi au biashara...hawataki majukumu..hawana upendo wa kujitoa..shame on them..
kijana mdogo anamaliza chuo ajira ya kwanza anataka kumiliki nyumba,apartment masaki bata kila siku na washkaji..kwa mshahara gani wa jk?
teh ndo maana wengine wakikosa mijimama wanaolewa na wanaume wenzao mchana kweupeee
MUNGU atusaidie
Mvaa Tai ni utafiti wa muda mrefu...................sihusiki binafsi............
mimi vijana wakinitongoza huwa nawaambia nafanya mamantilie kariakoo ...yaani kama alikupa na no ya simu anabadilisha kabisa... mapenzi kwao ni pesa tu
mimi vijana wakinitongoza huwa nawaambia nafanya mamantilie kariakoo ...yaani kama alikupa na no ya simu anabadilisha kabisa... mapenzi kwao ni pesa tu
umeona eeeh huu mji usipokuwa mjanja utapata limtu utakuwa unalilea hadi chupi unalinunulia...Smile hapo umewawekea mkakati shupavu kabisa.....................hawawezi kufurukuta.........labda wale wa chapu chapu ambao hata sura hawataki kuiona.........lol
Huko sawa Mkuu!.Wanao angukia kwa ma cougar ni sawa sawa na wale wanao angukia kwa ma sugar daddy hakuna tofouti.
Kila moja anatafuta vya bure.
Dating cougars
Zipo sababu 10 za kwa nini vijana wengi wanatumbukia kwenye mahaba feki na cougars............zikiwemo:-
1) Uvivu wa kujipatia kipato kwa jasho lao wenyewe.....
2) Kupenda dezo na kukwepa dhiki na karaha za umasikini......
3) Kutojua mbinu za kuwatongoza wale wa saizi yao kwa baadhi yao.............
4) Kutojali jamii inawaonaje katika mahusiano na mama zao kiumri ili mradi tu watimize mradi wao........
5) Kukubali na kuvumilia kujisalimisha kwenye mfumo jike....................
6) Utetezi hadaa wa ya kuwa wao wenyewe wanapendana mara nyingi huwa ni danganya toto na ni kisingizio cha kuhalalisha mahusiano husika..................
7) "Cougar" huwa ana kiburi cha pesa na huitumia nafasi hiyo kuthibitisha ya kuwa yuko juu ya mfumo dume ambao huona umemyanyasa kiasi cha kutosha.....................
8) Tatizo la "Cougar" na mwathirika wake ni kuwa huwa hawatosheki na walichonacho na hivyo kila mmoja wao kuhangaika kutafuta mapungufu kwenye mahusiano yao...................hivyo kujikuta wana wapenzi zaidi ya mmoja.........
9) Wengi kwenye mahusianohaya huambukizana magonjwa ya zinaa kama vila miwaya, kaswsende, kisonono, saratani ya shingo ya uzazi n.k..............
10) Furaha wanayodai kuwa wameipata hujionyesha kwenye kadamnasi tu lakini wakiwa faragha huwa ni wapweke na kugubikwa na majonzi ya kuasi asilia.......................