Cougar=Sugarmummy: Why date her of all the women?

Kweli bana huyu jamaa alipotea sana,unajua siku hizi unapokuwa critic lile jukwaa lazima wakutie katika Wanted List..naamini sasa'ivi inakuwa updated hourly manake visa vinazidi..lakini Aluta Continua

Kumbe niko kwenye "wanted list"........sikujua hilo......... Iza......ought to be very careful whom I tangle with from now onwards..........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Iza
Dear Ruta we only live once! so take ur time... get what u want... spend... have funny.... live like there is no tommorrow! regardless watu watawaonaje? hata hizo relationship za umri unaolingana watu hawaachi kuzitoa kasoro ooh mke mrembo kampendea nini mwanamume kama yule n.k. waacheni hao wanaopendana kwa sababu hizo wanazozijua wao alimradi mioyo yao imeridhi waacheni waendelee na kula raha zao jamani....! cougars are like shining diamond... diamonds are forever....!!!
 
teh kipenda roho hula nyama mbichi, ila tuseme ukweli jaman sio kina kaka wala akina dada, wote wanaangukia kwa hawa ma couger kwa sabab ya chapaaa, penye ukweli heb tuuseme huo ukweli we umeona wangap awe wa kiume au wa kike yupo na jibaba au jimama lilofulia, yaan ambalo halina mkwanja. Binafsi bado kuona wote ninao waona wanatoka na wenye chapaa, na hata ambao nimebahatika kuwasikia mazungumzo yao wanasema bila aibu kuwa majimama au jibaba yao ni ya ki-ATM zaid, na wengi huwa wana wapenz wengine wanaowapenda kweli. Tena hii maarufu sana vyuoni
 
Kumbe niko kwenye "wanted list"........sikujua hilo......... Iza......ought to be very careful whom I tangle with from now onwards..........

Amani Mkuu, unajua kipaji ni kipaji tu nawe unacho cha kuandika sie tunacho cha kusoma walivyoandika wengine na pengine kuchangia hapa na pale..we tandika makala kila uwezavyo...!
 
Wasichana hawawataki vijana...vijana nao kina Eiyer hawawataki wasichana...sasa imebaki kila mmoja kukimbilia kwa vibibi na vibabu.

Kwanza kwanini umeita mapenzi fake?Kwani hakuna mahusiano imara na safi ya aina hii?Ki ukweli kila jambo lina pande mbili.Sababu ulizotaja ni kweli zipo ila sio kwa kila kijana mwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima.Hata mimi binafsi natamani niwe na mwanamke mtu mzima maana nimechoshwa na upuuzi na usumbufu wa hawa mabinti(niko serious).Ukweli ulio wazi natamani mwanamke nitakaekua na mahusiano nae ni bora akanizidi umri,pilika na fujo za mabinti zimeshanishinda.Kwanza wanawake hawa hawana longolongo,akikuambia hana nafasi jua anamaanisha na akikuambia anayo jua anamaanisha.Kwa mabinti ni hovyo sana!
 
Dear Ruta we only live once! so take ur time... get what u want... spend... have funny.... live like there is no tommorrow! regardless watu watawaonaje? hata hizo relationship za umri unaolingana watu hawaachi kuzitoa kasoro ooh mke mrembo kampendea nini mwanamume kama yule n.k. waacheni hao wanaopendana kwa sababu hizo wanazozijua wao alimradi mioyo yao imeridhi waacheni waendelee na kula raha zao jamani....! cougars are like shining diamond... diamonds are forever....!!!

muhanga .....you are right diamonds are forever but our houses of clay are not...............that is where trouble is with your concerted assertions...........
 
Last edited by a moderator:
Amani Mkuu, unajua kipaji ni kipaji tu nawe unacho cha kuandika sie tunacho cha kusoma walivyoandika wengine na pengine kuchangia hapa na pale..we tandika makala kila uwezavyo...!

Iza umesikika..............
 
Last edited by a moderator:
teh kipenda roho hula nyama mbichi, ila tuseme ukweli jaman sio kina kaka wala akina dada, wote wanaangukia kwa hawa ma couger kwa sabab ya chapaaa, penye ukweli heb tuuseme huo ukweli we umeona wangap awe wa kiume au wa kike yupo na jibaba au jimama lilofulia, yaan ambalo halina mkwanja. Binafsi bado kuona wote ninao waona wanatoka na wenye chapaa, na hata ambao nimebahatika kuwasikia mazungumzo yao wanasema bila aibu kuwa majimama au jibaba yao ni ya ki-ATM zaid, na wengi huwa wana wapenz wengine wanaowapenda kweli. Tena hii maarufu sana vyuoni

Nambe wa vyuoni tatizo lao ni ukapa zaidi.....kama wangelikuwa nazo pengine maamuzi yangelikuwa toauti lakini umasikini na kero zake zinawatumbukiza kwenye majibu mepesi kwa mwaswali magumu.......
 
Last edited by a moderator:
Asante... Wakuu tizameni pande zote mbili.... Na hivi vi-binti vinavyoshobokea fataki, navyo je?
[MENTION]
Straddler[/MENTION] hiyo ni mada mpya kabisa inahitaji nafasi ya kujitosheleza.........kuijadili...
 
Ni kweli kwa baadh ya watu ni ukapa, ila ni kidogo sana wengi wao ni tamaa wangu, kwa mfano mie nlikuwa nasoma hapo TuDARCo, bwana kuna wadada ambao walikuwa wanabeba kila mwanaume anaekuja simply kwa sabab hatak kuonekana kwenye vibanda vya chips, hatak kurudia pamba, na mengineyo kama hayo. Kwa kifupi watu hawa sio wale waliokosa hela ya kula au ya matumizi muhimu ila wanataka kudrive, kusuka kila week nywele ya 50 elfu na kuendelea, anataka na yy apangishe nyumba kama flan badala ya kukaa hostel, sasa kwa vle serenget boy wengi hawana uwezo huo, na mijibaba ipo unakuta bidada anao hata watano. wanapenda dezo tu nakwambia hawa ndio maana wanatembea na babu zao...lol
Nambe wa vyuoni tatizo lao ni ukapa zaidi.....kama wangelikuwa nazo pengine maamuzi yangelikuwa toauti lakini umasikini na kero zake zinawatumbukiza kwenye majibu mepesi kwa mwaswali magumu.......
 
nawaogopa hawa vijana wa namna hii tena siku hizi wanajichekesha na kujitongozesha wenyewe kwa mimama bila soni!, mungu aniepushie mbali!!
na tamaa ndio zinazowapeleka huko
 
balaa duniani ,,hatari ila ndio dunia ya sasa watu wametawaliwa na tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom