Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Maombi ya Wauwaji wa Africa, sema shetani anaweza kujifanya kujibu maombi yako ili akumalize! Mungu amekupa akili zitumie, mbona hatuombi/kusali ili tuwe na miundo mbinu mizuri au tuwe na monthly salaries automatic? Tusimkufuru Mungu watu wanakufa acheni upuuzi.
 
Back
Top Bottom