mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 82,236
- 109,037
Waulize Italy kilichotokea,pamoja na sanamu ya bikira Maria kuzungushwa mipaka ya Italy walikiona cha moto,JPM hii ni sayansi huo sio mkakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Si lazima sana kusali kwa kukusanyika. Kama tunajua saa ya ibada ni saa moja,basi kila mtu akianza kusali kwa msingi wa dini/imani yake popote alipo Mungu anamsikia.
Aiseee. Nimekumbuka Hadithi ya Mbayuwayu.....Walioanzisha dini wamefunga nyumba za ibada, wanaendesha ibada kwa live streaming, wanafuata maelekezo ya watalaam na sio maombi.
Hapa maombi hayana maana. Tufuate ushauri wa wataalam na sio maombi.
Rais anategemea Tanzania tutakua na maombi special sana ambayo watu au mataifa mengine walikosa hadi kupata corona? Mbona sstiglers au sgr hatuambiwi tuombe ijijenge?
Mkuuu kula like milioniKwa hiyo katika marais wote duniani ni Magufuli pekee anayeweza kusikilizwa na Mungu?
Nimezipokea mkuuMkuuu kula like milioni
Huku tukiendelea kuchukua tahadhariKama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tusali tu hamna namna, watu wanapukutika. Leo nimeamka na fever sijui nilishapata. Mungu nisaidie.
Kesho ni tarehe 16 hapa Tanzania. Labda huko nchi za mbali ndio tarehe 15!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais John magufuli wa Tanzania amewataka watanzania watumie siku za ibada za ijumaa, jmosi na Jpili kuiombea nchi iepukane na corona
Source,EATV update
My take :hofu inaua hivyo kila moja ajaribu kufanya anachoweza