Contineous students wa vyuo tofauti na udom mlioomba mkopo kuna matumaini yoyote?

Sep 2, 2012
48
7
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Wanafunzi tunaoendelea na masomo vyuo vikuu nchini tulioomba mkopo upya kwa mwaka wa masomo 2013/14 wote tulikosa na kupewa majibu ya matumaini kuwa yale majina yalikuwa ya fresher's ( yaani watu waliochaguliwa vyuoni kwa mara kwanza kwa mwaka huuu wa masomo). Mpaka sasa ktk wanafunzi wote wa Udom ambao wengi wanatoka hakuna hata mmoja ambaye amepata mkopo na pia hakuna matumaini yoyote ya kupatiwa mikopo zaidi ya kushauriwa kuappeal tena. Tunashindwa kuelewa kama hili tatizo ni la UDOM tu au na vyuo vingine bado lipo?Sasa kama kuna wanafunzi wa vyuo tofauti na UDOM mliopata tunaomba mtupe taarifa na ni utaratibu upi uliotumika hadi kupewa mikopo yenu?
Nashukuru kwa Ushirikiano mtakaoonesha.
 
bodi wamegeuka wana siasa ....St.john campus zote(domain na dar) pamoja na udsm bado labda vyuo vngne bt hao nliotaja bado coz Nina radioisotopes zangu huko....n hayo tu..m mwenyewe mhanga
 
Bado wangu, tunasikia tarehe 18 mwez huu ndo majina yatatoka, hivyo tunasubiri
 
Back
Top Bottom