Contact.vcf file ni nini?

Ahmet

JF-Expert Member
Oct 15, 2019
1,537
3,404
Habari za muda jamani,

Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing vCard contact .vcf.

Sasa je hili file lina kazi gani?

Ni nani anahusika na kutuma mafile haya? Maana alienitumia hata simjui

Je, hii haiwezi kuwa mbinu ya wezi kutaka ku-hack na kuiba fedha katika sim card yangu?

Naomba anaefahamu hili anijuze
 
Kama ni mtu ambaye humjui kuwa makini Na matapeli. Kma hio email Ume sign in na simu ina maana hizo namba tayari umeshazi synchronize na simu tYari.

Kwa kuanza save hilo file mahala pengine kisha lifungue na excel ama program yoyote ifananiayo kisha utaona majina na namba zote zinazo associate na hilo file la contacts.
 
Nimeshalifuta tayari ktk documents na zile namba tayari nmezifuta
 
umefanya kosa kuifungua, kuna uwezekano tayari aliyetuma ameishapata kila kitu kwenye simu yako. Next time usipende kufunguafungua vitu ambavyo hujaomba kutumiwa, au kutoka kwa mtu usiyemfahamu
Duuh hatari kweli sijui nifanyeje ila Hilo file na namba zote nimezifuta
 
Ukiback up contacts zako zinajitengeneza kwenye file la vcf.

So ukienda kwenye simu ukataka kurestore contacts itakuuliza location so utapick tu hilo file na contacts zitakua restored.

Hilo file ukifungua kwenye computer linafunguka.
 
Habari za muda jamani,

Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing vCard contact .vcf.

Sasa je hili file lina kazi gani?

Ni nani anahusika na kutuma mafile haya? Maana alienitumia hata simjui

Je, hii haiwezi kuwa mbinu ya wezi kutaka ku-hack na kuiba fedha katika sim card yangu?

Naomba anaefahamu hili anijuze
Pia huenda aliyekutumia anataka namba yake iji save kwenye simu yako ili aweze kua access baadhi ya vitu ambavyo kama hujamsave hawezi kuviona, mfano WhatsApp status, Profile pic kwenye WhatsApp, Telegram yako.. Sasa kwa sababu umelifungua kabla hujatuuliza cha muhimu fuatilia namba ambazo huzijuii zifuteeee.
 
Back
Top Bottom