Mie naona kuna umuhimu wa wananchi wanaopiga hizi kura kupewa darasa kwanza,ili hata hayo matokeo yawe na maana kwa jamii inayoyapokea
Mkuu wangu sijakataa utafiti huu..sidhani kuna sehemu nimekataa utafiti huu isipokuwa nimesema haujengi kitu cha kufikia kumpa pongezi Mh. Zitto. Ni sawa na lugha isemayo mshindi ktk kundi la Wajinga ni Mh. Zitto!Mkandara,
Inawezekana unapoint lakini unashindwa kuchallenge hiyo ripoti kwa hoja kama zilivyotumika humo. Kumbuka kuwa huu ni utafiti na wala siyo hisia za mtu, kwa hiyo basi ninakushauri go back na kuchambua vianzilishi, viashiria nk vya utafiti ili ujenge hoja zenye nguvu. Kukataa utafiti bila ya kufanya utafiti sidhani kama ni sahihi.