hivi mwanaume wa maana yukoje na asiye na maana yukoje,na nani anatakiwa kujua huyu wa maana na huyu sio kama si muhusika mwenyewe...
Ngoja tumpeleke kwa babu wa loliondo akapate kikombe ,huenda akapona kaugonjwa ka malavidavi
mh ushakuwa mtumba huo sasa
Huyu demu Wema nilikuwa namuona mzuri sana,sema mapepe yake tu.Lakini angejituliza na kusoma,angepata mwanaume mmoja wa maana sana
Ndiyo yupi huyu wa maana?
Nilidhani chagua la mtu ndilo "la maana kwake"
Ungei bold sentensi yote na kuitafakari labda ungeelewa ninachomaanisha.Nikisema mwanaume wa maana simaanishi mali au ma PhDs.Point yangu ni kwamba huyu binti angeachana na kukigawa kama pipi na badala yake angetulizana na kutafuta jamaa mmoja potential,watengeneze future.