Computer programming language

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
748
148
naomba msaada nataka kujifunza computer programming ila sijui nianze na lunguage ipi, maana zipo kiba, je ipi ni bora zaidi kwa mtu kama mimi sina background yeyote katika PC progmm language?
 
naomba msaada nataka kujifunza computer programming ila sijui nianze na lunguage ipi, maana zipo kiba, je ipi ni bora zaidi kwa mtu kama mimi sina background yeyote katika PC progmm language?

Ushauri wa jumla, anza na C kisha C++ kisha Java, hapo utakua umejiweka sawa ktk mambo ya programming.
 
Thanks

acha nitafute notice za c niaze kujifunza na kama uko na notice za c nitashukuru sana
 
Nafuta posts za nyuma ktk JF Store. Mkuu @c++ na wickerman walishawahi kuweka vitabu humu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom